Usimshirikishe sana mwanamke wako kwenye mambo yako ya pesa

Wengine tunafanya hivyo kwakua mazingira yanalazimisha sasa we kama unapenda kitoshirikishana si ni bora uombe talaka tu I'll use mwanamke huria?

Nilishajiongezaga kwa sababu hiyo hiyo ya ubinafsi, maisha yakuwindana kikipato hata la maana hamfanyi.
 
Hilo labda kwa wamama wa nyumbani.
Asinishirikishe mimi wakati wote watafutaji, si na mimi simshirikishi halafu tuone baada ya miaka 2 nani atakuwa na nyumba ya siri.
Napenda sana maisha ya kutoshirikishana, maana maisha yakushirikishana ndio uleta kamchezo kakuchanga pesa kama tuko kwenye upatu lol.
Aina ya wanawake wa kuwaogopa kama ukoma kwa kuoa.
 
Loh!!!!! aliyekwambia mimi nataka kuolewa na mwanaume m,binafsi nani?????
Mwanaume anaye lala na pesa kwenye bukta, anayeenda kuoga na pesa kwenye taulo huyo ni mwanaume mauzauza?????
Ni mwanamuke mtafutaji sisumbuliwi kichwa na mutu yoyote, over
 
Wanawake akili zao zinawatosha wenyewe , kuanzia yule asiyejua kusoma wala kuandika hadi PhD holder wote ni Sawa tu. Hawaishi kwa kuangalia ceiling yako Bali kwa kulinganisha na wengine midomoni wanaweza wasiwe hivyo lakini mioyoni wanaumia. Sasa ili kuishi kwa uzuri ni vema ajue activities zako kwa 50% tu.

Ili siku ukifanya jambo 75% ajue umejipinda sana na yeye atakupa huduma special kumbe wewe bado una 25% ya kujilinda. Cha msingi ni kuhahakisha mwanamke yuko salama na anapata mahitaji yake muhimu kama mlivyokubaliana na hii ndiyo jukumu Kubwa LA mwanaume hapa duniani

Kiongoz huyo n mkeo au mchepuko tu,hebu tujaribu kutofautisha hapo kati ya mchepuki na mke ahsanten
 
Wanawake akili zao zinawatosha wenyewe , kuanzia yule asiyejua kusoma wala kuandika hadi PhD holder wote ni Sawa tu. Hawaishi kwa kuangalia ceiling yako Bali kwa kulinganisha na wengine midomoni wanaweza wasiwe hivyo lakini mioyoni wanaumia. Sasa ili kuishi kwa uzuri ni vema ajue activities zako kwa 50% tu.

Ili siku ukifanya jambo 75% ajue umejipinda sana na yeye atakupa huduma special kumbe wewe bado una 25% ya kujilinda. Cha msingi ni kuhahakisha mwanamke yuko salama na anapata mahitaji yake muhimu kama mlivyokubaliana na hii ndiyo jukumu Kubwa LA mwanaume hapa duniani
Na Li-roho lako baya, Hapa umeongea sense.
Hata hivyo, Hizi asilimia zako, zisiwe fixed ziendane kulingana na aina ya Mwanamke husika maana wapo waliberali na wengine majanga kitabia, ki-muelekeo na ki-msimamo.
 
Wewe ni kati ya watu wachache sana humu wenye akili nyingi;
imeandikwa muishi na wake zenu kwa akili na wala sio kwa uwazi
 
kumshiriksha au kutomshirikisha inategemea aina ya mwanamke maana wengine ukiwambia umepata vimilion kadhaa na unafikiria kutafuta kakiwanja yeye anafikiria kununua nguo 'nipe kabisa laki mbili zangu nashida nazo' na hapo bila kumpa ugomvi hauishi
 
Loh!!!!! aliyekwambia mimi nataka kuolewa na mwanaume m,binafsi nani?????
Mwanaume anaye lala na pesa kwenye bukta, anayeenda kuoga na pesa kwenye taulo huyo ni mwanaume mauzauza?????
Ni mwanamuke mtafutaji sisumbuliwi kichwa na mutu yoyote, over
Hahahaha, Hapa kuna Ishu.
 
Vp kama mkeo akafanya kama ushaurivyo mwanamme afanye.... Uko tayari kulipokea hili????????? Hii sera inawafaa sana wanaume wasiojiamini. Ila wa aina yangu mke ni kiungo namba moja wa maendeleo yetu.
 
Naomba nikulze swal, kwann znapoisha hela mnanywea kama piriton? Nakujisemeshasemesha huna nkakope utalpa hapo unanshirikisha iweje? Tabia ya mtu utaijua akiwa na pesa ndo ww.
 
haiendi hivyo. kumbuka hata kama mwanamke anahela na anachangia bajeti ndani lakini siku kama hakuna msosi, nguo za sikukuu, ada au luku imekata ataetolewa macho ni baba.
 
Naomba nikulze swal, kwann znapoisha hela mnanywea kama piriton? Nakujisemeshasemesha huna nkakope utalpa hapo unanshirikisha iweje? Tabia ya mtu utaijua akiwa na pesa ndo ww.
hiyo kakope ntalipa iwe ni ya mwisho na we mwenyewe unakua na impression kwamba nimefight nimeshindwa. ila ukinijua sana utaona kama sijafight.
 
Hilo labda kwa wamama wa nyumbani.
Asinishirikishe mimi wakati wote watafutaji, si na mimi simshirikishi halafu tuone baada ya miaka 2 nani atakuwa na nyumba ya siri.
Napenda sana maisha ya kutoshirikishana, maana maisha yakushirikishana ndio uleta kamchezo kakuchanga pesa kama tuko kwenye upatu lol.
Ni kweli wamama wa nyumbani inatakiwa hivyo, mtoa mada alitaka kuwasilisha ujumbe kwa waliowengi maana mpaka sasa walioajiliwa au kujiajiri wanawake ni wachache ukilinganisha na wasiojiajiri au kuajiriwa.
 
Wewe inaonekana unatoka kwenye wanawake wasio elimu wala uwezo wa kiuchumi.
 
Hilo labda kwa wamama wa nyumbani.
Asinishirikishe mimi wakati wote watafutaji, si na mimi simshirikishi halafu tuone baada ya miaka 2 nani atakuwa na nyumba ya siri.
Napenda sana maisha ya kutoshirikishana, maana maisha yakushirikishana ndio uleta kamchezo kakuchanga pesa kama tuko kwenye upatu lol.

Nataka nikushirikishe Apologise lady!
 
Back
Top Bottom