Usimgharamie kama hujamuoa

Usimgharamie kama hujamuoa

The Hunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
1,049
Reaction score
307
Vidume tumekuwa na moyo wa kuwasaidia ma girlfriends, wetu financially hususani wanaosoma au waliokutwa na shida, tukiamini wanacount jitihada hizo, ama ndo tunatengeneza njia ili kuja kujenga familia bora, lakini amini haiitaji research kufahamu wanawake ni viumbe wasiokumbuka na hawajali kiivo.
Kama umemuoa kuwa huru na mwenye furaha kumsaidia, ila kama ni rafiki amini uko kwenye kundi la waangua vilio na wajutaji mbeleni.
Hulazimishwi kuamini, msomeshe akimaliza anachosoma uone kama wajanja hawajakupokonya
 
Acheni kutuharibia jamani.
Mbona mwajiweka pembeni kana kwamba hakuna wanaume wanaosomeshwa na wanawake.
Mbona na nyie twawasomesha, twawanunulia mpaka boxer, lakini hamridhiki!
Acheni kufanya maboyfriend zetu wasitishe misaada kwetu.
...ole msaada ukate upande wangu, nakuja kula kwenu The Hunter.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli madam , ila Bei ya boxer na Verrosa ni sawa!? Kama kwenye 10 basi ni 4 wanaosomeshwa na wanawake. Ukweli utabaki pale pale wanaume bado ni wahanga wa hili.
 
Last edited by a moderator:
help but dont put it to heart,help and gegeda hard, mara nyingi bint awapo chuoni huwa unstable kifikra but akisha ajiriwa hupata mindset hivyo huwa na uamuzi stable na huyu hufaa kwa ndoa ndoano
 
Vidume tumekuwa na moyo wa kuwasaidia ma girlfriends, wetu financially hususani wanaosoma au waliokutwa na shida, tukiamini wanacount jitihada hizo, ama ndo tunatengeneza njia ili kuja kujenga familia bora, lakini amini haiitaji research kufahamu wanawake ni viumbe wasiokumbuka na hawajali kiivo.
Kama umemuoa kuwa huru na mwenye furaha kumsaidia, ila kama ni rafiki amini uko kwenye kundi la waangua vilio na wajutaji mbeleni.
Hulazimishwi kuamini, msomeshe akimaliza anachosoma uone kama wajanja hawajakupokonya

Yaani umsomeshe hadi chuo amalize apate kazi achukuliwe na boya tu aisee ntamFoo SARO mtu, kuna Uzi humu dada alisomeshwa kuanzia O'level hadi chuo na kapata kazi halafu eti anaomba ushauri hamtaki jamaa hajasoma na ni mshamba, Dah nikikumbuka ule Uzi yaani unaweza ukawachukia w/wake wote.
 
Acheni kutuharibia jamani.
Mbona mwajiweka pembeni kana kwamba hakuna wanaume wanaosomeshwa na wanawake.
Mbona na nyie twawasomesha, twawanunulia mpaka boxer, lakini hamridhiki!
Acheni kufanya maboyfriend zetu wasitishe misaada kwetu.
...ole msaada ukate upande wangu, nakuja kula kwenu The Hunter.

Hahahaaa madame B uneniua kweli Mtu wangu:-
1-wanaume wanaosomeshwa na wanawake.
Jibu ni:Kwa muda huu Hakuna aliyekuwa anasomeshwa ni yule 24 Vs 60 (Mbunge) yeye alishahitimu shule siku nyingiii.
2-twawanunulia mpaka boxer.
Jibu ni:Hiyo haijalishi kwani mimi nimenunuliwa mara ya mwisho 2010.
3-nakuja kula kwenu.
Ushauri:Kama kwao ni mbali unaweza kuja kwangu.

Mwisho.

Haiwezekani uwe na Gf a.k.a kasmall haus usikagaramie ,cost sharing its mandatory ishu ni kwamba kuwe na mipaka ya kiasi na aina ya msaada.Unaweza kumnunulia Vitu kama vile Simu (siyo Samsung )namaanisha tule tu-Nokia twa Tochi),Hela ya Saloon not exceeding 50,000/=,ya matumizi madogo not exceeding 100,000/=.
 
Hii kitu inaukweli mkubwa sana hata hapa jukwaani mara nyingi sana madem wengi huwa wanaomba ushauri baada ya kusomeshwa huwa wanaona hawaendani na huyo aliyemsomesha
 
Ukiamua kutoa msaada usifanye hivyo kwa sababu unategemea urejeshewe kwa njia ya ndoa! Toa msaada kama ambavyo ungemsaidia yeyote mwenye shida!

But make sure that providing/helping her is equally proportional to the number of times you strip off her pants!.....
 
usitoe uone kama utaoa achilia mbali kugegeda.
 
Vidume tumekuwa na moyo wa kuwasaidia ma girlfriends, wetu financially hususani wanaosoma au waliokutwa na shida, tukiamini wanacount jitihada hizo, ama ndo tunatengeneza njia ili kuja kujenga familia bora, lakini amini haiitaji research kufahamu wanawake ni viumbe wasiokumbuka na hawajali kiivo.
Kama umemuoa kuwa huru na mwenye furaha kumsaidia, ila kama ni rafiki amini uko kwenye kundi la waangua vilio na wajutaji mbeleni.
Hulazimishwi kuamini, msomeshe akimaliza anachosoma uone kama wajanja hawajakupokonya

bila kutia chambo utamnasaje samaki?
 
Kwa mwanaume kumgharimia mpenzi wako ni jambo la kawaida. Usipo mpa hela ya nguo, salon, na matumizi madogo madogo lazima utasaidiwa tu. Ofcourse inategemea na vipato vyenu, ila wapenzi ni muhimu kusaidiana.

Kama una msomesha mtu olevel hata a-level basi wewe ni fataki . Kwanza lazima mtakuwa na age difference kubwa...na most likely huyo unaye msomesha atakuwa aidha hajui au hajaridhia kile kilichoko katika akili yako, ni kama unaingia mkataba wa ulaghai.

Kama ni chuo, ni vyema mkaoana kwanza halafu ndo ukaendelea kumsomesha.

Kumnunulia gari mpenzi ni swala la kawaida kama una mpunga. Lakini kama hela zako ni za mawazo halafu una mnunulia mtu mkoko basi tegemea kuugua presha. Inshort unapo nunia gari usichukulie kama ndo guarantee ya uhusiano wetu, kuwa hutaachwa. Ni zawadi tu kama ambavyo unanunua perfume.
 
Vidume tumekuwa na moyo wa kuwasaidia ma girlfriends, wetu financially hususani wanaosoma au waliokutwa na shida, tukiamini wanacount jitihada hizo, ama ndo tunatengeneza njia ili kuja kujenga familia bora, lakini amini haiitaji research kufahamu wanawake ni viumbe wasiokumbuka na hawajali kiivo.
Kama umemuoa kuwa huru na mwenye furaha kumsaidia, ila kama ni rafiki amini uko kwenye kundi la waangua vilio na wajutaji mbeleni.
Hulazimishwi kuamini, msomeshe akimaliza anachosoma uone kama wajanja hawajakupokonya

Hawa huwa wanataka kukaa nao kijanja!Pia ukiwa unapiga kazi inatakiwa ieleweke sana ili akubali kazi yako na sio pesa yako
 
inategemea mkuu, wapo wanaojali sana waliowasaidia na wapo wenye roho ya kishetani ambao huwakomoa wanaowajali na kuwatukuza wapita njia! stuka usikate tamaa.
 
Kichwa cha habari kimeshajieleza, kama watoa msaada toa kwa moyo swafi tujue mtu flani anamsaidia fulani, kama ni mkataba nao uwe wazi kwamba ntakusomesha kama babaako malipo yangu ni mgegedo, na kama ni investment basi muoe kwnza alfu ndio umgharamie vyote hivyo masomo, kama anataka Vitz mpatie uwezo si unao kwanin wandani wako aishi kama gari la kukodi

Ila mi nimekoma..
 
Hahahaaaaaaa! Tangu lini kuku ukamuingiza bandani bila kumuhadaa na mahindi? Chezeya!!!!!!!! UTAULA WA CHUYA KWA UVIVU WA KUCHAMBUA!!!!!!!!!!!
 
Ni kweli madam , ila Bei ya boxer na Verrosa ni sawa!? Kama kwenye 10 basi ni 4 wanaosomeshwa na wanawake. Ukweli utabaki pale pale wanaume bado ni wahanga wa hili.

Hiyo ya Verossa ni kwa wenye uwezo.
Mbona wanaume wanaposomeshwa na wazazi wao huwa ni nadra sana kurudisha fadhila?
Tusomesheni, nikipata elimu nachagua wa kuishi nae.
Msaada sio mpaka kwa ndugu tu, hata mwanamke waweza msaidia...kwan sh ngapi!
Acheni hizo.
 
Back
Top Bottom