Usimchokoze Mrusi

Hi


Ndugu, vita ni mambo mengi.Kitendo cha US au NATO kuufyata pale Ukraine kusitafsiriwe kuwa hawana uwezo kwa Mrusi. Kutokuwa na uwezo kusitafsiriwe ni kukosa nguvu za kijeshi pekee, vita vina mambo na athari kubwa sana. Hivyo, inabidi kujua hasa hawa mabwana nini kinachofanya kugwaya.


Kumbuka, hata Tz , Us haiwezi kukurupuka tu na kuanza kuipiga. Kuna wakati wamatazama njia mbadala kuliko kuingia vitani. Ndiyo maana Libya(Ghadafi) na Iraq( Sadam) zilichukua miongo kadhaa kuzipiga. Tusiojua tungesema hawezi, wamefyata.Hii haimaanishi hawakuwa na nguvu za kufanya hivyo.Waweza kuwa na nguvu lakini ukachemka au ukalete athari kubwa sana usizotegemea.
 
Kweli..USA Alikimbizwa vibaya 2008 Georgian war cause Russia aliingia Georgia bila kujifikirisha Wala kuogopa US army advisers waliokwa Georgia.. US alikimbia akaacha Humvee 5 ambazo zote warusi walizichukua na hawakuwahi kurudisha.
 
German Amemaliza mwaka 2016 kulipa hizo gharama Vita za ww2
 
pro trump aka shithole utawajua tu. Hongera sana mtumwa wa marekani
 
tuambie wewe basi. mambo ya msingi unachekacheka kama baamedi
 
pro trump aka shithole utawajua tu. Hongera sana mtumwa wa marekani


Hii haina upro Trump wala ushit hole mkuu, ni suala la uchambuzi wa kina.Hapa utimu hausaidii. Hata kama unalipenda taifa fulani haisaidii, utaishia kujidanganya. Hapa tunataka kujifunza kwa hoja. Hayo niliyozungumza nimemtaja USA kwakuwa ndiye aliyezungumzwa, lakini nchi zote zenye kuwekeza kivita zipo hivyo. Hata Mrusi, Tanzania, UK n.k, wote wapo hivyo. Kinachowatofautisha ni uwezo, huyu ana au hana hiki, mwenzie anavyo, au na mwenzie hana hiki yeye anavyo.

Watu wengi tunapotoshwa na stori za vijiweni au mazoea. Ukweli sisi tutachangia kadiri tunachojua lakini hatuwezi kujua ukweli nini kilichopo ndani ya taifa fulani. Ukijiona unajua kwa 100% habari kuhusu taifa fulani basi wewe ni bonge la mpelelezi ulipaswa ugombewe na mataifa ili wakuajiri. Maana hata CIA, KGB na MOSSAD kutwa kucha hawalali wanatafuta taarifa, mimi na wewe kupitia stori za vijiweni tunajidai tuna taarifa na kutoa judgement.
 
kweli hili jamaa kama shoga vile linacheka mbela ya midume ya jf nonsense huyu

Hujafuatilia mjadala wewe nyoko. Ungefuatilia ungejua sababu ya kucheka. Huku mwanzo uliona alichosema na ushahidi alioleta huyo jamaa. Alianza kwa mikwara kibao kumbe hakuna kitu. Sasa uoangali kama una kipele usikurupuke wengine hatukuni, tukwangua.

A little skunk!
 
tuambie wewe basi. mambo ya msingi unachekacheka kama baamedi

Ingwkuwa umefuatilia mjadala, usingekuja na kauli hii. Umefuatilia hoja za huyo anaechekwa? Ninajua ni hoja ya msingi, na nachangia kadiri ya uwezo wangu. Ukilete masihara nami nitafanya masihara pia.
 
Warusi wamemfundisha nyangumi wao mweupe anaitwa beluga kufanya ujasusi . Juzi ameleta kizaazaa huko norway
 
Hakuna Taifa lolote linaloweza kupambana na Tanzania likashinda kama huamini muulize Mrusi nani aliyemfurumusha Idd Amin wa Uganda utapata majibu.

Sisi jeshi letu la policcm lina bunduki ambayo ikipiga risasi angani zinakata kona na kumfuata adui hata kama yupo ndani ya Daladala. Hii hata Mrusi hana....
 
Teh, kweli we ni mnyonge wa hali ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…