Naomba kuuliza aliyesoma "Procurement" anaweza omba ajira utendaji wa kijiji, kwan sifa mojawapo ya muombaji anawatakiwa awe amesomea usimamizi wa fedha. Je Procurement=Usimamizi wa fedha?
Naomba kuuliza aliyesoma "Procurement" anaweza omba ajira utendaji wa kijiji, kwan sifa mojawapo ya muombaji anawatakiwa awe amesomea usimamizi wa fedha. Je Procurement=Usimamizi wa fedha?
Mkuu kama kigezo ni uwe umesomea usimamizi wa fedha basi ni lazima uwe umesoma finance management; japokuwa Accountancy na Procurement wote wana somo la finance management ndani ya course zao japo hawaingii deep kama wanaosoma BCom in Finance au BaF