M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Mume: Mke wangu geuza vitunguu hivyo vinaunguaa, punguza mafuta hayo umeweka mengi sana, moto mkali sana huo upunguze, vitunguu umekata vikubwa sana havitaiva, achaa usiweke maji sasa hivi, punguza chumvi hiyo wewee.
Mke: (kwa sauti ya ukali)..ACHA KUNIPIGIA KELELE. UNADHANI SIJUI CHA KUFANYA? MBONA UNANIFUNDISHA NINACHOKIJUA? UKIENDELEA HUU MWIKO UTATUA MWILINI KWAKO SASA HIVIII.
Mume: Relax mke wangu. Nilitaka ujue jinsi ninavyojisikia ninapokuwa naendesha gari na wewe unatoa maelekezo.
***********************************
Hivi kwanini dada zetu kwenye magari huwa hamkai kimya? Mara mpigie honi huyo (usipotii ananyosha mkono na kupiga yeye)., mara punguza mwendo jamani.. Haya Ukimuachia yeye aendeshe hataki ucomment kitu.
Juzi nimeingia matatani na vyombo vya dola kwa sababu kama hii. Mama mmoja kaniomba nimpeleke mjini ana ishu zake. Na mimi kwa maujanja ya vijinjia nikapita njia inayopita mahakamani. Tukiwa tumefika kabisa eneo la mahakama bodaboda mmoja akawa anapiga U turn..na mimi nikapunguza mwendo kumpisha. Mama akaona anacheleweshwa fasta akaminya honi ya nguvu na haraka zake zikaishia pale.
Kuanzia sasa nitakuwa natembea na pingu. Jinsia yoyote ya kike nitakayoibeba pingu kwanza, mdomo naupiga plasta ndio safari iendeke.