mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
nilikosea mkuu,iyo ni 17 milioniNamba 8 sio kweli, pia namba moja sio kweli (at least the mentioned size)..., hiyo size uliyotaja ni ndogo kuliko hata Rwanda. Tanzania ina 947,303 sq km, iweje Urusi iwe na 17,000 sq km tu?
number 8 mbon ipo saw mkuuMamba 8 nenda kagoogle tena, maana sio kweli.
nimeleta hii mada maalum kw watu wasiokuw na uwelew wa nchi ya urusi,wengi wanajua kuw urusi anategemea gesi na mafuta tu wakati sio kweli.vipo vingi tu vya kufany uchumi wa urusi uendele kuwepoMleta mada jaribu kuwa serious kidogo,how come una draw attention za wasomaji kwa mada ya kitu kisicho na uniqueness,sasa nchi kuwa ya 4 au ya 5,kuna kitu gani kipya hapo,kuna mambo yakusumbua watu hapa jukwaani kama matukio yaliyovunja rekodi au kitu kuwa cha kwanza au cha mwisho katika tukio au jambo flani
Nakubaliana na wewe kama USA ni namba 1 kwa kuwa na mafuta lakini sio kuzalisha kutoka ina mafuta mengi isipokuwa bado hawavichimbi visima vyao. haswa upande wa Alaska kuna mafuta ambayo hata Saudi haioni ndani.number 8 mbon ipo saw mkuu.ya kwanz ni USA ya pili ni Urusi
Kweli kabisa vipigwe marufuku, maana ulivyochangia mada naona umetupia viroba feki.siku zote huwa nasisitiza hivi VIROBA vipigwe MARUFUKU maana ni sheeedh
haya ni mambo ambayo wengi tumekuw hatuyajui kuhusu nchi ya urusi.
1.ni nchi kubwa kuliko zote duniani,ina 17,000,000 squal km yani imezidiw kidog tuna bara la africa
2.ni nchi ya 2 kwa kuw na mzunguko mkubw wa reli,ina km
87,000 za njia ya reli
3.ni nchi ya kwanz kuw na wasomi wengi,53% ya warusi wana degree kw iyo usishangae kumkuta kinyozi wa urusi ana degree
4.ni nchi ya 4 kuw na airport nying,kuna jumla ya airport 1,218
5. ni nchi ya 4 kw kuzalish umeme mwingi,wanazalisha 1,064,100(Gwt)
6.ni nchi ya 3 kw uzalishaji wa madini aina ya gold,inazalisha tani 247 kw mwaka
7.ni nchi ya 4, kw kuzalisha madini aina ya silver,inazalisha tani 1,700 kw mwaka
8.ni nchi ya 1 kw uzalishaji wa mafuta.ina zalisha 10,590,000
barrels kw siku
9.ni nchi ya 2 kw uzalishaji madini aina ya aluminium
10.ni nchi ya 1 kw kuzalisha madini aina ya diamond,inazalisha tani 8 kw mwaka
11.ni nchi ya 5 kw kuzalisha madini ya aina ya chuma(Iron)
12.ni nchi ya 4 kw kuzalish madini ya aina ya chuma(steel)
13.ni nchi ya 6 kw kuzalisha madini aina ya uranium
14.ni nchi ya 2 kw uzalishaji wa gesi
15.ni nchi ya 7 kw uzalishaji wa madini aina ya copper
16.ni nchi za 3 kw uzalishaji wa ngano
17.ni nchi ya 3 kw uzalishaji mbao
18.ni nchi ya 5 kw uvuvi
19.ni nchi ya 2 kw kuuza siraha.
haya ni maadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu nchi ya urusi,ila yapo mengine meng tu
iyo list umetoa wapi?Mkuu no 8 si kweli! Saudia inazalisha mil 11 barrels per day, so inaendelea kuongoza to now,
No 14.... 17,098,242 (Crimea not included[citation needed]) km2(1st)
6,592,800 (Crimea not included) sq mi
Umesahau ni Nchi ya kwanza Kuwa na mademu wakali dunia kuanzia blond na blunete meeen Nmemc pussy za Eastern Europehaya ni mambo ambayo wengi tumekuw hatuyajui kuhusu nchi ya urusi.