nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
Nimeitwa kufanya usaili kwa majadiliano kwa kada ya afisa kilimo daraja la pili. najua humu pana wazoefu upande wa kilimo kwa kupitia ktk huo usaili. nijikite maeneo gani kujiandaa sina uzoefu na usaili.