Usikubali kuchezewa, jua thamani yako

Usikubali kuchezewa, jua thamani yako

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Kama uko na mpenzi [emoji1300] ambaye ana tabia ya kutokupokea simu zako [emoji390] au kutojibu text [emoji987] yaani unamtumia text asubuhi anakujibu kesho, ama unampigia saa moja asubuhi hapokei anakuja kukupigia baada ya masaa kumi, basi na wewe usimpigie simu wala kumtext kwa siku kumi!!

Kwa sababu ameamua kukuchezea michezo ya kitoto, basi mpe siku kumi za kuwa mkubwa. Wewe nenda fanya mishe zako, katafute pesa [emoji384][emoji387][emoji386], jiweke bize tafuta hela then baada ya siku kumi ndio uje kumtext!

Ukiona amemyuti na wewe myuti [emoji2958][emoji2958]. Mambo ya kufanya ni mengi usikubali kuchezewa michezo ya kitoto [emoji1348][emoji1348]! -

Msubiri akue au tafuta matured spouse muende sawa [emoji41]

Hayupo peke yake kwanini akuchezee??

Usikubali kuwa cheap kwa mtu asiyejali hisia zako. Move on!!

Nimesikika huko nyuma??

20191006_071954.jpeg
FB_IMG_1571135793093.jpeg


[emoji41] Akizingua sana tukutane Mikocheni B Mlima wa Moto upepo wa kisulisuli unapovuma

FB_IMG_1570207804827.jpeg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom