sasa ukimng'ata gegedo, nani atakuhudumia bibie?
Ila bora upuuzi huu kuliko huu hapa.....https://www.jamiiforums.com/mahusia...divyo-mpenzi-alivyoharibu-jumapili-yangu.html
Haitakuwa poa mchumba..........
Pole kwa Kuumwa miss chagga
mshtaki aligeuka kuwa mshtakiwa
sio kwenye meno tu visasi vipo vya aina nyingi kwa mwanamke akiamua kufanya jambo kwa mwanaume.
Mkuu unajua kun'gata koni kunataka timing kubwa sana? Mana ikiingia tu mdomoni hua inateleza kama kambale.
pole mkuu naona ulikata ghafla sana aisee..... Lakn naona hata ww ulijitahid kung'angania tawi ili usisombwe na mafuriko ya malaria
women forgive but never forget, men forget but never forgive
Nikimng'ata gegedo ajue ndo bye bye maana nae c anantoa ngeu ili nisiambiwe habari mrembo huko barabarani sasa yeye atasalimia sana ila pale kati no gegedo😛
Ukisikia nyani haoni lake ndo hii.....
asante kwa kuandika kitu cha upuuz na kuonyesha kazi kubwa ya mulugo kuwa ni ya kukumbukwa kuliko miaka 50 ya muungano
haha.. una hatari
hamna hatari yeye anipga reception yangu ili iweje nitishe au
has this really happened to you?