pocha2 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 890 Reaction score 396 Jun 2, 2015 #1 Leo kweupe, inanikumbusha michezo ya utotoni.
M momentoftruth JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,057 Reaction score 2,190 Jun 2, 2015 #2 Yani kumeng'aa ajabu
C chamba matwe Senior Member Joined Jan 12, 2015 Posts 168 Reaction score 30 Jun 2, 2015 #3 Wezi leo kwa mn'garo wa huo mwezi imekula kwao
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,557 Jun 3, 2015 #4 Nakumbuka enzi hizo nikiwa kwa marehemu bini kiloleni Tabora ananipa hadithi za kweli na matukio miaka yao ya nyuma hasa kuhusu wanyama
Nakumbuka enzi hizo nikiwa kwa marehemu bini kiloleni Tabora ananipa hadithi za kweli na matukio miaka yao ya nyuma hasa kuhusu wanyama