"Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi. Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa. Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi; lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi. Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani"(Wafilipi 1:21-27 BHN)Waruhusu waichukue roho yako kwa vile umeridhia 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Kama ni kweli, basi kufa ili 'ukutane' na huyo bwana wako. Enjoy your marriage."Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi. Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa. Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi; lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi. Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani"(Wafilipi 1:21-27 BHN)
Huyu bundi katumwa na kiristos wakoKaribi nusu saa nzima bundi analia juu ya nyumba. Toka jumanne niko hoi kitandani. Inaogopesha kiasi🥺
Ndugu yangu Da'Vinci , usiogope. Katika Kristo tuna ulinzi mkuu. Bundi ni ndege tu kama wengine; hana mamlaka juu ya maisha yetu. Na hofu haitoki kwa Mungu. Nataka nikuongoze sala ya imani ili upokee ulinzi na amani ya Mungu.Karibi nusu saa nzima bundi analia juu ya nyumba. Toka jumanne niko hoi kitandani. Inaogopesha kiasi🥺
Utapona tuuh mkuuKaribi nusu saa nzima bundi analia juu ya nyumba. Toka jumanne niko hoi kitandani. Inaogopesha kiasi🥺
Akipona, atapata hasara, kwani, hatakutana na Yesu wake.Utapona tuuh mkuu
Punguza bangi na gongo weweUkiishi kwa ajili ya Kristo, unapata faida, sio hasara
Nawe pia akupe akili na busaraMungu akuhurumie