Usiku wa kwanza wa ndoa ya kaka...

Usiku wa kwanza wa ndoa ya kaka...

McHongoMa G45

Member
Joined
Feb 24, 2018
Posts
22
Reaction score
14
Hebu tuuite usiku wa maajabu kwakua hakuna kati ya wanandoa wawili waloiona asubuhi yao bila machozi kububujika. Najua wote tunajua kuwa wengi wetu huolea nyumbani na fungate hulazimika kuwa pale pale nyumbani kutokana na mila nisoipenda ya kutandika shuka jeupe ili wamama wapate jibu kama mkeo alikuwa bikira au laa.

Nilishangazwa na jioni ya siku ya ndoa mara tu baada ya jua kuzama kaka kutoka na taulo huku akiamuru mziki uzimwe na watu waondoke eneo la nyumban tena kwa sauti isiyo ya upole. Alaaa wote tulijua kaka alikuwa anaham sana kuanza kazi ya kukitikisa kitanda huku na huko na kutokana na mazingira alihisi huwenda sauti zao zikazidi sauti ya mziki uliokuwa ukipigwa kama wa dosko.

Chaajabu zaidi pembeni ya nyumba kidogo kulikuwa na kundi la wamama ambao wengi ninawajua walikuwa wametulia kimya hata baada ya watu wote kuondoka. Ilibidi nisogee pembeni kidogo na kukaa karibu yao ili kujua kama wanashida yeyote nikiwa kama kijana wa familia nijaribu kuwasaidi..hakika hakuna nilichosikia isipokuwa minong'ono ya chini chini wakisema hapa hatuondoki mpaka tukikamate kitambaa chenye dam au maji meupe. Haikuwa rahisi kwangu kuelewa nilitaman kusogea karibu zaidi. Alijitokeza mama yangu katika moja ya mlango wa chumba na kunambie Ramson kalale mwanangu hapo hapakufai tena. Niliondoka kwa aibu kwan wamama woote walikuwa wakinitizama mm.

Niliwa chumbani kwangu nilisikia sauti ya kulalama na kukata tamaa kutoka kwa moja kati ya mama wale huku wakimtaja jina kaka yangu. "Sam mwanangu usitutie aibu baba, wajua nn kimetufanya tukae hapa jitahidi" mpaka hapo sikua nimeelewa chochote. Lakini kadri muda ulivyozidi kusogea wamama walizidisha maneno ambayo yalinivutia mm kuchungulia dirishan kujua nn kilikuwa kikiendelea. Nilisikia sauti ya juu ya mama mmoja wa jiran akisema '' kama huwezi ingiza hata kidole sisi tujue bana hata sisi tunawaume zetu wanatuhitaji'' hapo kidogo nilielewa kwamba huwenda kaka kashindwa kabisa kazi ya kukitikisa kitanda vilivyo.

Masikini kaka yangu, waliingia chumban wanawake wawili na kuanza kuupekecha uume wake ili angalau usimame na kumuamuru mke wake pia aloonekana ni mwenye aibu kubwa kuunyonya angalau ingesaidia lakin uume uliishia kusimama tu kidogo na pindi ukiwewa juu tu ya uke unalala na kuwa kama mkufu. Dah kiukwel haikua siku nzuri kwao kwani wote walijikuta wakitoa machozi na kutojua ni nn kiliwakuta. Wanawake wale wawili walitoka nje wakicheka kwa dharau huku wakisema " ahhh jogoo hapandi mtungi hapa tutakesha ..kaangukiwa na kitovu huyu'' maneno yale yaliniumiza sana nikajua kaka yangu ndio basi tena.

Nataman sana kuwaeleza ilikuwaje baada ya wamama wale kuondoka ila naona haya maana nilihusika mm moja kwa moja kwa kipande cha hadithi kilichobakia na tukipata muda tutaendelea
 
Asee. Yani unatupotezea mda halafu unatuacha njiani namna hii?
 
Back
Top Bottom