Usiku utakapokwisha

Cogito ergo_sum

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,647
Reaction score
2,930
Wanajamii forum naandika Uzi huku nikiwa na mawazo mengi kuhusu nini hasa hatima yetu sisi tuliomaliza kidato cha sita mwaka huu na tukiwa hatuna uhakika wa kuendelea na masomo kutoka na hali katika familia tunazotoka ": wengi tupo gizani Giza lilosababishwa na mtu mmja ambae yuko juu kupelekea malengo yetu kukwama kabisa na kukata tamaa: JE NI LINI KUTAKUChA TUONE MWANGA WA MATUMAINI ansanteni
 
Heslb nimewaheshimu. Nilidikiri tcu wanakatisha ndoto za watu kumbe i was wrong. Heslb ndio tatizo
 
kwa hali hii bora tu mimi niliempeleka mdogo wng diploma nilipe mwenyewe
 
John si katuambia tutaishi kishetani kua mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…