Usiku umefika

we demu au li msela? jibu kwanza tusije kukuudhi bure.
 
Mitungii mikasii kama ukitaka kuvinjari nasi basi mfukoni mwako uwe safiiiii!!
 
story gani unataka mkuu... mi ndo maktaba ya story! kila aina ipo hapa siasa, uchumi, historia, lugha, love, michezo, philosophers stories, bible, vita, israel & arab, Jews & control of the world, ujasiriamali na mbinu, masomo ya darasani, uchumi wa dunia n.k... we cjui unataka story gani kiongozi
 

Namchagulia ya love
 
asee, kuna wengine nawaaminia kwa kaz ya ulinz, Jawilat, umehamia huku ndugu yangu? njo nikupe dawa ya usingizi? vipi kale kaugonjwa kalipona?
 
asee, kuna wengine nawaaminia kwa kaz ya ulinz, Jawilat, umehamia huku ndugu yangu? njo nikupe dawa ya usingizi? vipi kale kaugonjwa kalipona?

rugwebe78 twende kule basi huku watu wengi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…