Usiku na vimbweka vyake

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
3,134
Reaction score
7,575
Kuna uhusiano gani kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu?

Mfano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku. Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku.

Hata homa hushika mwili hasa nyakati za usiku kunani?
 
Wanasema usiku kuanzia saa sita usiku malango ya kuzimu hufunguka Hadi saa kumi alfajira na mbingu nayo hivyo hivyo!

Ndio maana wagonjwa wengi hufa usiku was manane kuliko mchana!

Unganisha dots na hayo maumivu!

Ni mwendo new ids TU kuelekea 2025
 
Kuna uhusiano gan kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu?
MFano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku
Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku
Hata homa hushika mwili hasa nyakati za usiku kunani??
Ni kwa sababu usiku una utulivu mwingi , wakati usio kuwa usiku kunakosekana utulivu huvyo baadhi ya issues hutulia ila kukiwa na utulivu baadhi ya issues hukosa utulivu.
 
Mwili unakua katika hali ya utulivu zaidi , viwango vya hormone ya kupunguza , maumivi pia hushuka,pia nyakati hizi mwili umetulia mfumo wa fahamu huwa active zaidi.

Wanasema usiku kuanzia saa sita usiku malango ya kuzimu hufunguka Hadi saa kumi alfajira na mbingu nayo hivyo hivyo!

Ndio maana wagonjwa wengi hufa usiku was manane kuliko mchana!

Unganisha dots na hayo maumivu!

Ni mwendo new ids TU kuelekea 2025

Ni kwa sababu usiku una utulivu mwingi , wakati usio kuwa usiku kunakosekana utulivu huvyo baadhi ya issues hutulia ila kukiwa na utulivu baadhi ya issues hukosa utulivu.

Hata mimbaa nyingi upatikana usiku kwakuwa mnakula lilee tunda Kwa utulivu mzuri zaidiii

Hata niege usiku zinakua Mara dufu ndio maana vijana wengi hujichukulia Sheria mkononi wakati wa usiku.

Maumivu hayana wakati, labda kama ujabanwa kisawasawa
Someni kitu kinaitwa circadian rhythm.
 
Wanasema usiku kuanzia saa sita usiku malango ya kuzimu hufunguka Hadi saa kumi alfajira na mbingu nayo hivyo hivyo!

Ndio maana wagonjwa wengi hufa usiku was manane kuliko mchana!

Unganisha dots na hayo maumivu!

Ni mwendo new ids TU kuelekea 2025
"........ Mi ni giza Kuna vingi vya kutisha chunga sana pindi inapofika usiku, usiku..... "
 
F

fafanua zaidi hapa mkui kwann tuwe waangalifu inapo fika nyakati za usiku
Kuna vingi vya kutisha nyakati hizo nivip hivyo maelezo zaid plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…