Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Apr 3, 2015 #1 je huyu chatu ataweza kummeza huyu n'gombe? Attachments usiku mwema.jpg 157.8 KB · Views: 1,385
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Apr 3, 2015 #2 Hawezi...ngombe mkubwa sana atampasua chatu lol haenei kwa tumbo :lol::lol: halafu ngombe katulia ka hana habari!!!
Hawezi...ngombe mkubwa sana atampasua chatu lol haenei kwa tumbo :lol::lol: halafu ngombe katulia ka hana habari!!!
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,086 Reaction score 8,423 Apr 3, 2015 #3 Mmh chatu wa hivyo mmmmmh
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Apr 3, 2015 Thread starter #4 Jerrymsigwa said: Mmh chatu wa hivyo mmmmmh Click to expand... Ana konda huyo sio chatu........... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,794 Apr 3, 2015 #5 Mkuu sasa huku kutishana tushindwe kuzima taa wakati wa kulala...mimi na nyoka ni vitu mbali mbali kabisa,,,hata awe wa kuchora!
Mkuu sasa huku kutishana tushindwe kuzima taa wakati wa kulala...mimi na nyoka ni vitu mbali mbali kabisa,,,hata awe wa kuchora!
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,587 Apr 3, 2015 #6 Horseshoe Arch said: Mkuu sasa huku kutishana tushindwe kuzima taa wakati wa kulala...mimi na nyoka ni vitu mbali mbali kabisa,,,hata awe wa kuchora! Click to expand... Ha ha ha ha,mi hyo video nimeikatisha isiendelee
Horseshoe Arch said: Mkuu sasa huku kutishana tushindwe kuzima taa wakati wa kulala...mimi na nyoka ni vitu mbali mbali kabisa,,,hata awe wa kuchora! Click to expand... Ha ha ha ha,mi hyo video nimeikatisha isiendelee
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Apr 3, 2015 #7 Mkoroshokigoli said: Ha ha ha ha,mi hyo video nimeikatisha isiendelee Click to expand... huyu chatu alianzia kati?na nilidhani chatu lazima akuvunjevunje kabla hajakumeza!!
Mkoroshokigoli said: Ha ha ha ha,mi hyo video nimeikatisha isiendelee Click to expand... huyu chatu alianzia kati?na nilidhani chatu lazima akuvunjevunje kabla hajakumeza!!
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,692 Reaction score 41,141 Apr 3, 2015 #8 Daah! Chatu mkubwa sana huyo, huyo moo anamezeka kilainiii...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Apr 4, 2015 #9 MziziMkavu said: Ana konda huyo sio chatu........... Click to expand... Kiongozi .... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016