Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,904
- 59,863
Jaribu kama hujaogopa kulala mwezi mzima!!Gud nit pia da huyo lizzy anaonekana fresh kwa kuotea.
Jaribu kama hujaogopa kulala mwezi mzima!!Gud nit pia da huyo lizzy anaonekana fresh kwa kuotea.
Kwahiyo nikishinda inakuwaje?!Na wewe kama hushindi unajuaje mi nashinda?!Mlalaji hawezi kumjua mkeshaji hata siku moja...
jamani nawatakia usiku mwema, ntakae mwota ntawambia kesho!
Lizzinho bana
:becky:
LEO NI ZAMU YA KUMUOTA LIZZY. Mwasemaje?
Embu chapa mwendo huko....LEO NI ZAMU YA KUMUOTA LIZZY. Mwasemaje?
Mh..hujalala tukumeshakucha tayari
Makubwa usisahau kutandika magazeti kwenye carpet