wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 858
Imekuwaje NATO kuingia Ukraine wakati operation ya kijeshi ya Mr. Putin ilipoanza hawakuingia sasa wameona hasara inayopatikana Ukraine ndio waingie tena kwa mikoa miwili tu, kuna nini?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app