Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Aug 20, 2013 #1 Hali nyingi za kufeli katika maisha Zilitokea kwa watu ambao hawakujua ya kuwa walikuwa wapo karibu sana na kufaulu,pindi walipo amua kusalimu na kukata tamaa. Usikate tamaa!
Hali nyingi za kufeli katika maisha Zilitokea kwa watu ambao hawakujua ya kuwa walikuwa wapo karibu sana na kufaulu,pindi walipo amua kusalimu na kukata tamaa. Usikate tamaa!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Aug 20, 2013 #2 Hali ya kukata tamaa inaweza ikakupeleka kwa Babu na ukampa sifa za bure kumbe kulihitajika stahamala ndogo tu zaidi!
Hali ya kukata tamaa inaweza ikakupeleka kwa Babu na ukampa sifa za bure kumbe kulihitajika stahamala ndogo tu zaidi!