Usikate tamaa

Bill9

Member
Joined
Jul 21, 2019
Posts
39
Reaction score
119
Kusindwa sio kinyume cha mafanikio ila ni sehemu ya mafanikio.
Alifeli shule,akafeli siasa akaanguka akafungwa ,katikati ya kuta za gereza akainuka akaanza tens harakati hatimae akaja kuwa raisi Wa ujerumani huyu ni Adoph Hitler.
Oppra Winfrey, akiwa chini ya umri Wa miaka 13 alifanyiwa udhalilishaji Wa kingono akabakwa na binamu yake akatoroka nyumbani akiwa na miaka 14 tu sasa ni mtangazaji maarufu.
Silvester Stallone ,alizaliwa akiwa Ame paralyze upande mmoja Wa uso wake ,, alikataliwa kuigiza sio chini ya mara moja ,alikosa pa kulala akalala kwenye stand ya wasafiri Leo ni actor Wa dunia nan asomjua Rambo.

Nelson Mandela,,alifungwa ,akateswa ,akasalitiwa na mkewe hakukata tamaa mwisho alitimiza ndoto take ya kuikomboa SA.

Diamond platnumz,

Itaendelea............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…