Eeiii! Hiyo iko poa, ukiwa na demu...usimchunguze kama mko wangapi! ILa wew jua tu kwamba upo kwenye foleni...ila alo mbele yako ndiko alokotoka dem wako, na aliye nyuma yako kwa foleniii ndiko aendako uyo dem akitoka kwako. HUNA HAKI YA KUDAI ETI UNAIBIWA....wala usimseme eti ni malaya...niny wote ni waharibifu/wezi wa tunda la mti wa katkat.