Usijilinganishe na mtu mwingine

BR Stationary

Member
Joined
Oct 7, 2026
Posts
16
Reaction score
35
Maisha ni safari, si mashindano. Usijilinganishe na mtu mwingine, kila mmoja ana muda wake wa kufanikiwa. Kuna siku utacheka, kuna siku utalia, lakini usikate tamaa.

Jifunze kuvumilia, kufanya kazi kwa bidii na kumwachia Mungu nafasi yake. Kumbuka, kuchelewa kufika si kushindwa kufika.

Leo unapambana, kesho unaweza kuwa ushuhuda wa ushindi. ❤️🙏
 
Kuna wanawake wengi wapenda tuma na ya kutolea watakupinga Sana.
Wao kama huna kitu kafie Mbali wanataka uwe nazo hapohapo mambo ya kusikilizia mchongo kafie Mbali
 
usipojilinganisha na watu wengine utarelax, utajisahau na utajiona umeshamaliza kila kitu kumbe baado sana, kataa kuwa maskini na fanya kazi kwa bidii na maarifa hilo ndo la kutushauri. Tusisahau kusali.
 
Apana ndugu mapito ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…