S Suleiman mathias Member Joined Apr 3, 2012 Posts 28 Reaction score 7 Apr 24, 2012 #1 Wadau naomba tubadilishe jina badala ya kuitwa mwananchi uitwe mwenye nchi ili kuwepo uhalali wa kila mmoja wetu kuwa na uchungu kwani pesa yako ktk kodi ndio inayotumika kuiendesha nchi na mafisadi uliowaajiri ndio wanaokuibia mali zako
Wadau naomba tubadilishe jina badala ya kuitwa mwananchi uitwe mwenye nchi ili kuwepo uhalali wa kila mmoja wetu kuwa na uchungu kwani pesa yako ktk kodi ndio inayotumika kuiendesha nchi na mafisadi uliowaajiri ndio wanaokuibia mali zako