gubu ni nini?Full gubu!
Sharigubu ni nini?
Kwan hijui??Kumbee
Wanaitwa mapashkuna,kwa lugha ya kihenga.Wakina mama kama hawa huwa wanapatikana kwa wingi sana maeneo ya magomeni na ilala......
Utatagubu ni nini?
we kukutana na shangingi km hilo unaona sawa tu.....hata km angekua ndugu yangu story nae angesahau...ntaanza vip kuwatambulisha kua hili shangingi ni ndugu yanguHizi si laana? Sijui kwanini wenzangu mnaona freshi kumdhalilisha huyu mwanamke. Labda ni mama ya mtu bana. Sijaelewa kosa lake ni gani.
Sawa jombaa, ila hayo yote umeyajua kwa picha moja tu? Ya uso wake?we kukutana na shangingi km hilo unaona sawa tu.....hata km angekua ndugu yangu story nae angesahau...ntaanza vip kuwatambulisha kua hili shangingi ni ndugu yangu
hiv ulishawahi ona mmama mstaarabu amejichetua kiasi hicho km anaenda taarabu...Sawa jombaa, ila hayo yote umeyajua kwa picha moja tu? Ya uso wake?