Usiishi kama uko bustanini Edeni, Dunia hii imechafuka jitahidi kuzingatia haya

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,462
Reaction score
23,246
Kama dunia ingekuwa imenyooka kama katika ile bustani basi ungekuwa huru kufunguka Kila KITU. Ila ya Sasa ni vurugu tupu angalia sana unavyovisema maana vinakutambulisha.

Mambo machache ya kuzingatia...

1: Hakikisha hufunguki 100% kusudi lako na umepanga kufanya nini. Acha watu waone matokeo ya mambo ambayo umeyapanga kisiri moyoni.

2: Usiwe mwepesi wa kusema vitu unavyoviogopa, vinavyokutisha na kukukatisha tamaa KWA Kila mtu. Wengine watavitumia kukuumiza zaidi.

Mfano; Kuna shamba boy wangu nilikuwa namfungukia Kila KITU kuhusu hofu zangu. Akajua naogopa nyoka, KWA sababu shamba lilikuwa jipya na Yeye NDIYE alinipeleka baada ya Muda mfupi anaanza kuniambia shamba limejaa nyoka. Mara wameona joka kubwa sana limepotelea humo. Kumbe ilikuwa ni mbinu ya kunichelewesha ili nisifike kukagua assignment nilizompa KWA wakati.

Aliposikia namuogopa Simba, akatunga story Kuna Simba ameunguruma Kijijini. Watu kutembea mwisho saa 12 na wanatembea KWA makundi. Kumbe ni story za kishirikina tu tena Kijiji kingine Japo hakujua na Mimi ninawatu wanaonipa update Japo hawako hapo shambani.

JUA unaongea nini na nani.

Kuna watu unawaamini ila ukiwapa blueprint ya maisha yako na mikakati yako unakuwa umewauzia NGUVU zako na umewapa Silaha ya kukusambaratisha.

3: Kuna watu watakwambia KUWA mkweli, lengo useme ukweli wako wote ili wapate pa kuanzia. Kwa mfano ofisini unamchukia Bosi. Wanataka kujua hisia yako ili kama unamchukia apelekewe maneno ya kumchochea zaidi ili vita iwe kubwa ile kwako.
Hata kama ni mkweli hakikisha kile unachokisema ni asilimia moja tu ya ukweli unaoufahamu huku ukifanya tathmini ya matokeo kutoka KWA wanaokusikiliza.

Kimsingi jua mazingira yanayokuzunguka kabla hujaongea chochote. Hata Yesu aliwahi kuwaambia ndugu zake haendi Yerusalemu lakini walimkuta huko alikosema haendi. Maana alijua nia yao haikuwa safi .

Ni hayo tu

Mtumishi Matunduizi
 
Nimepata Tool hapa.. 📍📍📌📌
 
Jazia,usipost mambo yanayohusu familia yako mtandaoni,usimpost mchumba/make wako,usipost watoto wako,usipost mafanikio kimsingi kua msiri tuuu.Mtumikie Muumba wako kwa moyo wako wote na kwa nguvu zako zote.
 
Mbili nimechukua
 
Umetisha sana mdauu📍📍📌📌📌
 
Back
Top Bottom