Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,460
- 60,774
Kwa sababu wote tunafaidi, inabidi kuhongana maneno tu; mambo ya fedha hapanaKwa hiyo unataka utelezi for free??
Na hautaupata utelezi wa kusuuza roho. Komaa na mkeo wacha mabaharia tujilie slay queenKwa sababu wote tunafaidi, inabidi kuhongana maneno tu; mambo ya fedha hapana
We pambana nao tu, siku ukiishiwa hata buku utowaonaNa hautaupata utelezi wa kusuuza roho. Komaa na mkeo wacha mabaharia tujilie slay queen
Formula ya kumla slay queen ipo hivi. Ili umpate slay basi cha kwanza ni kutafta hela na cha pili ni kumentain status ya hela. So nikiishiwa hela means nimeishiwa formula ya kutafta hela na si slay kazimaliza.We pambana nao tu, siku ukiishiwa hata buku utowaona
Nipo hapa na hawa wazee wastaafu wananipa madini, we endelea kutupa helaFormula ya kumla slay queen ipo hivi. Ili umpate slay basi cha kwanza ni kutafta hela na cha pili ni kumentain status ya hela. So nikiishiwa hela means nimeishiwa formula ya kutafta hela na si slay kazimaliza.
Hahahaha. Haya bana. Kila mtu na atumie jasho lake apendavyo na avune anapowekeza.Formula ya kumla slay queen ipo hivi. Ili umpate slay basi cha kwanza ni kutafta hela na cha pili ni kumentain status ya hela. So nikiishiwa hela means nimeishiwa formula ya kutafta hela na si slay kazimaliza.
Atavuna utelezi, baada ya hapo shida zinarudi pale paleHahahaha. Haya bana. Kila mtu na atumie jasho lake apendavyo na avune anapowekeza.
Atajua mwenyewe 🤣🤣Atavuna utelezi, baada ya hapo shida zinarudi pale pale
Mke na Watoto hawahongwi bali wanahudumiwa maana wanatanbulika Kisheria na wana haki zoteHabari za jumapili wakuu?
Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku tukibadilishana mawazo hasa kuhusu wanaume kuhonga michepuko, huku familia zao zikiwa hazina ramani ya uhakika.
Wanasema hivi, '' kijana usiwe unahonga honga hovyo, kuhonga hovyo maana yake unakuwa unanunua bidhaa, na siku utakaposhindwa kuhonga hutopata huduma. Ni ajabu sana nyie vijana kuhonga nyumba, gari, au fedha n.k ambazo ungetumia wewe na familia yako zingekusaidia huko mbeleni kwenye changamoto mbalimbali.
Kijana, nakusihi muhonge mkeo na watoto wako tu, kwa sababu hawa watakusaidia siku utakapoishiwa au siku utakapokutana na balaa lolote; lakini mchepuko hawezi kufanya hivyo, zaidi ya kukufukuza na kusahau yale mema yote uliyomtendea.''
Haya, wakulungwa kazi kwenu...
Kama ni hivyo, kuanzia leo nabadili tabiahakuna mchepuko wa free..........
kama hutaki kuhonga tulia na mkeo!!!!
Ukweli mtupu. Mimi mwenyewe nahitaji kuacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari za jumapili wakuu?
Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku tukibadilishana mawazo hasa kuhusu wanaume kuhonga michepuko, huku familia zao zikiwa hazina ramani ya uhakika.
Wanasema hivi, '' kijana usiwe unahonga honga hovyo, kuhonga hovyo maana yake unakuwa unanunua bidhaa, na siku utakaposhindwa kuhonga hutopata huduma. Ni ajabu sana nyie vijana kuhonga nyumba, gari, au fedha n.k ambazo ungetumia wewe na familia yako zingekusaidia huko mbeleni kwenye changamoto mbalimbali.
Kijana, nakusihi muhonge mkeo na watoto wako tu, kwa sababu hawa watakusaidia siku utakapoishiwa au siku utakapokutana na balaa lolote; lakini mchepuko hawezi kufanya hivyo, zaidi ya kukufukuza na kusahau yale mema yote uliyomtendea.''
Haya, wakulungwa kazi kwenu...
Kuacha muhimu mkuuUkweli mtupu. Mimi mwenyewe nahitaji kuacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]