Mmh haya ni mapya kwangu... Nijuavyo mimi mengine ni masharti tu ya mganga ya kutishana yasiyo beba uhalisia wowoteTangu utotoni mpaka nakua nimekuwa nikisikia simulizi nyingi sana za mambo ya kuogofya, mambo ya kishirikiza, walozi, uganga, wakonikoni,
Sasa hapa kwenye uganga mara nyingi watu huenda kueleza matatizo yao ili wapate tiba na hii ni kwa wanao amini hupona ila kwa wasio amini huona kama kanjanja tu,
Mtaalamu hufanya mambo yake mpaka mwisho kama nikuchanjwa chale, kuogeshwa dawa kulingana na tatizo uliloeleza pia maelekezo mengine hupewa baada ya shughuri kumalizika,
Kumekuwa na kauli au maagizo/maelekezo, kuwa Unapopewa Dawa kwa mtaalamu pindi unapoondoka hutakiwi kuaga wala kugeuka nyuma,pia wengine husema unapopanga safari ya kwenda kwa mtaalamu ukikutana na mtoto wa kiume basi mambo yako yatakuwa sawa
swali ni je nini hutokea endapo ukigeuka nyuma na ukiaga
Cc Mshana Jr
[emoji23][emoji23][emoji23]hili swali huwa linanifurahisha sana...Mshana ujalala tu au kilingeni iyo
kama wewe hufahamu basi zitakuwa stori tu na masharti uchwara ya wataalamMmh haya ni mapya kwangu... Nijuavyo mimi mengine ni masharti tu ya mganga ya kutishana yasiyo beba uhalisia wowote
sawa sawaHiyo huwa ni usalama wa yeye. Asklimia kubwa ya waganga hufanya kazi kabla ya malipo hivyo unapoondoka bila kuaga huwa inamwezesha kuwa na muungano flani wa kiroho na wewe. Mi huko nilishafika. Niliambiwa nisiage siku ya kwanza ila siku ya kwenda kumripa tuliagana na kila mtu wala sikuona simu ya kunituhumu. Ukimuaga na ukamdhurumu anakuwa na nafasi ndogo ya kukuvuta

Mkuu wasalimie Igombe, Kayenze mpaka MabhibhiHiyo huwa ni usalama wa yeye. Asklimia kubwa ya waganga hufanya kazi kabla ya malipo hivyo unapoondoka bila kuaga huwa inamwezesha kuwa na muungano flani wa kiroho na wewe. Mi huko nilishafika. Niliambiwa nisiage siku ya kwanza ila siku ya kwenda kumripa tuliagana na kila mtu wala sikuona simu ya kunituhumu. Ukimuaga na ukamdhurumu anakuwa na nafasi ndogo ya kukuvuta
kama wewe hufahamu basi zitakuwa stori tu na masharti uchwara ya wataalamMmh haya ni mapya kwangu... Nijuavyo mimi mengine ni masharti tu ya mganga ya kutishana yasiyo beba uhalisia wowote
sawa sawaHiyo huwa ni usalama wa yeye. Asklimia kubwa ya waganga hufanya kazi kabla ya malipo hivyo unapoondoka bila kuaga huwa inamwezesha kuwa na muungano flani wa kiroho na wewe. Mi huko nilishafika. Niliambiwa nisiage siku ya kwanza ila siku ya kwenda kumripa tuliagana na kila mtu wala sikuona simu ya kunituhumu. Ukimuaga na ukamdhurumu anakuwa na nafasi ndogo ya kukuvuta
Kayenze hivi kule ni kama uko Mkoa mwingine vile hahahahMkuu wasalimie Igombe, Kayenze mpaka Mabhibhi
Poahahahahahaha, mimi nafata mashari buana nisije geuka mjusi
Oh kumbe unapafaham huko. Bas nawapa hai japo siko huko kwa sasaMkuu wasalimie Igombe, Kayenze mpaka Mabhibhi
Mkoa uleule tu. Ni ndani ya jiji la sangara tukama wewe hufahamu basi zitakuwa stori tu na masharti uchwara ya wataalam
sawa sawa
Kayenze hivi kule ni kama uko Mkoa mwingine vile hahahah