Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Habari zenu wana Jf,
Nataraji mpo salama pamoja na Familia zenu
Niende kwenye lengo. Mimi kama mmoja wa wale waliopata dalili juu ya Gonjwa hili la Corona,Takriban Dalili zote nilikuwa nazo, nikawa hoi siwezi hata kuongea vema, upumuaji wa tabu, sipati ladha ya chakula.
Kiukweli, sikupenda kwenda Hospital kwa sababu zangu binafsi. Ila kuna mambo nilijaribu kuyafanya,nikapata nafuu kidogo na kuendelea na majukumu yangu ya kila siku, mwanzo kabisa, nilishindwa hata kutembea laini kwasasa hata kukimbia naweza, kwa hili sina budi kumshukuru Mola aliye juu.
Niliweza kujitengenezea baadhi ya Dawa
Napenda kushare nanyi
1)Asali,Tangawizi, Kitunguu Saumu na Kitunguu Maji
Changanya vyote hivi na kula Asubuhi na jioni au zaidi
2)Maji ya Vuguvugu na Limao pamoja Na Tangawizi, changanya kunywa
Asubuhi na Jioni
3)Chemsha Mwarobaini katika Sufuria ya Wastani, kisha Changanya na Mafuta ya Habat Soda, Jifunike shuka na kujifukiza,
Asubuhi na Jioni
TANBIH
Chemsha kisawasawa ,mpaka yatokote
Mwisho
Mtegemee Mola wako na muombe sana,kwani hakika yeye ni msikivu na mwenye kukubali maombi ya waja wake
Shukran sana
Samahani kwa kuwachosha
Mola awe pamoja nanyi
By:Abuu Dharr
Sent using Jamii Forums mobile app