TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,533 Reaction score 31,824 Nov 15, 2026 #21 Kwa wanawake wengi mapenzi ni ajira inayowaongezea kipato, unataka mtu aache ajira yake? Hakuna ajira ambayo Haina changamoto so uvumilivu muhimu.
Kwa wanawake wengi mapenzi ni ajira inayowaongezea kipato, unataka mtu aache ajira yake? Hakuna ajira ambayo Haina changamoto so uvumilivu muhimu.
Alexido jz instagram JF-Expert Member Joined May 5, 2026 Posts 5,332 Reaction score 11,194 Nov 15, 2026 #22 Jobless_Billionaire said: Akae kisempai kabisa, akiendelea kuji-race baadae utasikika wangi tu Click to expand... Hahaaaa jianaume limekaa linaandika eti binti tz, amini usiamini, kuna wajinga humu watajaaa tu, na wataliwa amini usiamini
Jobless_Billionaire said: Akae kisempai kabisa, akiendelea kuji-race baadae utasikika wangi tu Click to expand... Hahaaaa jianaume limekaa linaandika eti binti tz, amini usiamini, kuna wajinga humu watajaaa tu, na wataliwa amini usiamini
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 55,210 Reaction score 134,806 Nov 15, 2026 #23 Binti tz said: Binti tz sifosi mapenzi kama haunipendi nenda zako! Click to expand... Umeshakataliwa huko pm, unakuja na ngonjera humu 😂 Mpaka uteme nyongo
Binti tz said: Binti tz sifosi mapenzi kama haunipendi nenda zako! Click to expand... Umeshakataliwa huko pm, unakuja na ngonjera humu 😂 Mpaka uteme nyongo
Chica Gee JF-Expert Member Joined Jul 13, 2021 Posts 4,049 Reaction score 11,368 Nov 15, 2026 #24 Huu mwandiko ni wa kiume, Kweli kazi unayo Mkuu 😹😂
La gioconda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 832 Reaction score 1,608 Nov 15, 2026 #25 Durovic said: Saivi wadada mnatutisha sana nini kinawapa jeuri? Click to expand... tumekuwa sugu🤣🤣🤣🤣