Fanya yote ufanyayo!
Lakini usidanganywe ukathubutu kuweka dawa ya kumnasa mchawi ili Wananchi wamwone hadharani kuwa kanasa na mapichapicha Wamchukue!
Ndugu, nakuhakikishia ukitoboa kwenye kikao Cha pannel ya wachawi sijui!
Sababu ya kukuondoa!
Uchawi ni chama Kama vyama vingine! kila mwanachama huwa Ni lazima atembee kwenye CODE za kichawi kulingana cheo chake.
Mchawi Ni Kama mwanajeshi wa Jeshi lisiloonekana, Hivyo Unapomuabisha hadharani unakuwa Kama umeua mwanajeshi akiwa na sare za jeshi, unakuwa umevunja miiko yote ya wachawi! Kwahiyo lazima wakuondoe tu hakuna namna.
UNAYORUHUSIWA KUMFANYA MCHAWI
Tiba nyingi za kichawi ni:
Kuzuia, Kinga, au Kama unaadhibu mpige kombora akafilie mbali, au umpige kombora aache damu pale uone, ila yeye akafie mbele huko! (hii ni fair play katika ulimwengu wa giza)
Lakini kumnasa mchawi hadharani ready -handed yaani laivu Ni sawa na kushika mpira ndani ya 18 box, kinachoamuliwa pale ni matuta (penalty).
Mchawi huwezi kumtambua kirahisi, mchawi ni kama Corona, hafi kwa nyundo.
Waganga na wachawi wanajuana! Ukijidai umepewa dawa Kali na mganga wako, kwenye kikao Cha wachawi wakikutana lazima atapatikana mchawi nguli zaidi piga ua lazima wakuondoe!
Halafu usichojua ni kwamba, kila dawa Ina asili, ni kama risasi ukiitumia kuua, wataalam wakiokota wanaweza kujua silaha uliyotumia!
Tumia dawa zote za kuzuia, kufukuza au kuumiza akafie mbele kwa mbele lakini Usithubutu kumnasa LAIVU Mchawi! Vinginevyo ujipange kwa Vita!
NOTE! Katika hili Namaanisha kwa MCHAWI siyo kwa MWIZI
***MWIZI RUKSA KABISA KUMNASA LAIVU ***

- Ebu waza Leo ukamnasa mtu maarufu aliyekatiza kwenye anga zako inakuwaje na mapicha picha
- Ebu waza leo ukamnasa waziri au mkuu Sana akiwanga na mapicha picha ukampiga!
- Ebu waza viongozi wa taasisi kabisa wanavyoheshimika itokee umemnasa laivu akiwanga!
- Ebu waza umnase mtu aliyejivika uchungaji wa kabisa!