Hahah sasa wakisema waite waislam wote tanzania kupiga kura ya mahakama ya kadhi...watawatengaji hao safi na wasio safi?
..
Kwanza point yangu haikuwa nani muislam safi na nani sio,point yangu ni kuwa hawa waislam Tz wengi wahuni tu ukiwaita wengi hawataitaka Sharia.
Na swali sasa.
Watajuaje huyu ni muislam na huyu sio?
Kumbuka wote wana majina ya kiislam,wanaswali msikitini,wanafunga ramadhan,wanaenda kuhiji,wanaswali swala tano,wanamuamini muhamad,wanaiamini quran,wanawake wanatinga hijab,wanaume wana sigda.
UISLAMU na MUISLAMU ni vituviwili tofauti muislamu anaweza akawa wema mwajuma rukia. Ally .abdallah nk na wakafanya maasi kuzini kula nguruwe kutokusali kunnywa pombe nk lakini yote hayo uislamu haukumtuma afanye hayo na ataadhibiwa kwa matendo yake. Uislamu una sheria zake na kanuni zake zilizoteremshwa kutoka mbinguni na umekamilika nikizifuata mimi ni muislamu na kama nikizipinga mimi sio muislamu hata kama naitwa mohamed au jamila
Sent using
Jamii Forums mobile app
Yani muislam wa kweli ni yule nzi akitua anamgeuzia bawa la pili,
Yule akikojoa anageukia kibla,
Yule haweki picha yoyote nyumbani kwake,hana Tv kwakuwa Tv inaonesha picha,hana simu kwakuwa simu inaonesha picha,Yule ambaye kila asubui anaamka kupenga makamasi kwakuwa ibilisi huwa analala kwenye pua
Kwasingi huo Hakuna muislam tanzania kama unataka muislam awe yule anaefuata uislam 100% hakosei ata kidogo.