Sorry ni 30 :45Acha uongo wewe hiyo yako umeitia wapi? Weka link. Aya ya 30:44 ni hii hapa, na chini nakuwekea link yake.
مَن كَفَرَ فَعَلَيْهِ كُفْرُهُ ۖ وَمَنْ عَمِلَ صَالِحًا فَلِأَنفُسِهِمْ يَمْهَدُونَ - 30:44Those who reject Faith will suffer from that rejection: and those who work righteousness will spread their couch (of repose) for themselves (in heaven)
Kwenda mpumbavu wewe,ajira munapeana kwa ukristo,teuzi za nyadhifa za juu munapeana kwa ukristo halafu unachora watu,munatengenza kundi lisilo na chakupoteza,mutavuna chuki,dhulma na ukandamizaji wenu.
Unaassume kama duniani kuna dini mbili tu..vipi mayahudi wanaruhusu ushoga?Ulimwengu mzima unapambana kuusimika ufalme wa Shetani (satanic empire). Ulimwengu au dunia ambayo uzinzi, ulawiti, unyanyasaji kingono, starehe zisizo na mipaka, ushoga, kamari, dhulma na uchafu wa kila sampuli n.k n.k vitaeneo kote ulimwenguni pasi na upinzan wowote ule kutoka popote pale. Dunia ambayo mambo ambayo yanachukiza katk jamii yatakuwa halali.
Dini pekee yenye nguvu ya kukemea na yote haya ni Uislam, Kwahiyo target ya kuusimika ufalme wa shetani ni kudidimiza mataifa yote yenye waislam wengi na kuchochea Vita ndani yao.
Kwa upande wa ukristo mambo hayo kw sasa ni swala la muda tu mana kanisa na ukristo umeshakubali yote hayo. Mashoga saiv wanafungishw ndoa kanisani, ulawiti na unyanyasaji kingono umeshamir na yote nilioeleza Hapo juu.
Kupitia kivuli cha UN, mauaji yote yanayoendelea huko yanatekelezw kwa mpango maalum.
Kila Rais wa marekan lazima amuue Kiongoz yoyote mwenye ushawishi mkubwa.
Bushi alimuua Saddam
Obama alimuua Gaddafi
Tusubir Trump naye atammaliza nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo halinihusu la uyahudi. Mi nazungumzia dini kuu 2 zenye ushawishi mkubwa dunian.Unaassume kama duniani kuna dini mbili tu..vipi mayahudi wanaruhusu ushoga?
Kama halikuhusu kaa kimya sasa...ila mimi myahudi uislam na ukriato haunishawishiHilo halinihusu la uyahudi. Mi nazungumzia dini kuu 2 zenye ushawishi mkubwa dunian.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kusema dini ni hizo tu?Kama halikuhusu kaa kimya sasa...ila mimi myahudi uislam na ukriato haunishawishi
Wewe uliye mmwenyeji tuwekee hapa ukweli ,maana ujuaji mwingi ila maneno matupuWewe naona ni mgeni wa siasa za mashariki ya kati kwa hiyo hujui unacho kiandika.
And vice versa is also true.Ila kiukweli kabisa waislam wanachuki sana na ukristo. Sijui ni kwa nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni myahudi huna nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani ( satanic empire). Katika kuusimika utawala wa shetani myahudi sio target kabisa. Empire ya shetani mpinzan wake mkubwa dunian ilikuwa ni Uislam na Ukristo. Ukristo umeshakubali yote. Kanisa lina kashfa zote za ushetani na sasa mpinzan aliyebaki ni Uislam peke yake na Wala Si uyahudi.Kama halikuhusu kaa kimya sasa...ila mimi myahudi uislam na ukriato haunishawishi
Ok fine nitajie dini nyingne ( mbali na Uislam na ukristo ) yenye nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani isitawale Ulimwengu.Anataka kusema dini ni hizo tu?
Ukriato = UkristoKama halikuhusu kaa kimya sasa...ila mimi myahudi uislam na ukriato haunishawishi
Unajishtukia tu... Mjinga yaweza kuwa ni wewe.Ni wajinga sana wakristo,eamejaa upendeleo,ubaguzi na kila hila dhidi ya waislam,na hakika watavuna matunda ya unyanyasaji wao,wengi wa waislam kwa kuwabagua kwao wamebaki bila kitu cha kupoteza na kwahiyo wakae wakijua hii itakuwa hatari kwao TUMBUSI HAWA.
Mimi sifanyi assumption hapa, ninachoweza sema ni kwamba:Unaassume kama duniani kuna dini mbili tu..vipi mayahudi wanaruhusu ushoga?
JudaismOk fine nitajie dini nyingne ( mbali na Uislam na ukristo ) yenye nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani isitawale Ulimwengu.
Nakazia ULIMWENGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Una chuki juu ya hayo ila huna chuki juu ya waafrika waliokuwa wakipigwa mijeledi na kufanywa watumwa..?Umepiga porojo ndefu lakini umesahau kuwa Muislam ndugu yake ni Muislam.
Waislam ni kama kiwiliwili kimoja, ukikiumiza kidole mwili nzima utapata homa.
Huwezi leo ukanambia Myahudi anagombea ardhi na Muislam mwenzangu halafu anauw watoto, wazee, bila hesabu halafu mimi nisiumie huku nilipo.
Au midege na manowari za kivita za Marekani zinawaua Waislam wenzangu huko Iraq na Syria halafu mimi nisiumie huku?
Upuuzi huo.
Si kweli.
Muislam hana sababu ya kumchukia yeyote yule.
Mbona Saudia yupo na Marekani , au hilo hamlioni ?Umepiga porojo ndefu lakini umesahau kuwa Muislam ndugu yake ni Muislam.
Waislam ni kama kiwiliwili kimoja, ukikiumiza kidole mwili nzima utapata homa.
Huwezi leo ukanambia Myahudi anagombea ardhi na Muislam mwenzangu halafu anauw watoto, wazee, bila hesabu halafu mimi nisiumie huku nilipo.
Au midege na manowari za kivita za Marekani zinawaua Waislam wenzangu huko Iraq na Syria halafu mimi nisiumie huku?
Upuuzi huo.
Si kweli.
Muislam hana sababu ya kumchukia yeyote yule.