Usidai chenji

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
et!! umepanga kujiua,ukaenda dukani kununua sumu,ukatoa elfu kumi kuna haja ya kudai CHENJI !!wakati unajijua unaenda kufa?
 
yu neva noo, labda unaweza kubadili mawazo ukaamua kwenda kulewa kujisahaulisha kifo. Sasa kama hukuchukua chenji na huna pesa ingine si utaamua kuendeleza azima ya kujiua?
 
Chenji muhimu,maana itasaidia kununua maji au soda njiani kuelekea ahera.
 
Chenji muhimu,maana itasaidia kununua maji au soda njiani kuelekea ahera.

Kwani ahera ni safari?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…