Duu, binadamu hatuna utu kabisa, kwa kweli butcher lilikikosw inzi inabidi tuwe makini sana 😂Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .
Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.
Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.
Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini
Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.
Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.
Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua buchani
Siku hizi usalama pekee ni kuacha kutumia nyama au samaki ambao hujui wametoka wapi, ulafi ndo huwaponza watu.Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .
Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.
Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.
Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini
Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.
Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.
Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua buchani
Kutokana na mazingira yetu labda Ila inatakiwa nyama itunzwe kwenye fridge kuninginiza nyama ni mtindo wa zamaniUkiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .
Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.
Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.
Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini
Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.
Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.
Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua buchani
Nunua nundu itatoa mafutaHaya mambo yalianzia uganda miaka ya nyuma kutumia dawa za maiti kwenye butchani
Kuna nyama zingine ukipika hakuna mafuta kwenye nyama. Nyama mpaka inaiva mafuta hakuna sijui inakuwa na shida gani