Fakyuol
Senior Member
- Nov 26, 2023
- 153
- 327
Baiolojia inasema....
wakati wa tendo la ndoa mwanaume hufanikiwa kumwaga takribani million 200 mpaka 300 ya sperms ndani ya UKE wa mwanamke!
Kisha baada ya hapo Sperms hizo huanza kuogelea kupitia njia iliyo special kuelekea lilipo yai la mwanamke!
Baiolojia inaongezea inasema kwamba
Kati ya hizo sperms Million na ushee....ni sperms 300 mpaka 500 tu ndiyo tufanikiwa kufika mahali lilipo kuwa likisubiri yai.
(Sperms Nyingine zote huchokea njiani.. kwasabab ya ugumu wa mbio kwani hizi huwa ni Mbio ngumu haijwahi tokea!)
Na kati ya hizo zilizo fanikiwa kufika ni moja tu.... ambayo huibuka MSHINDI ni Moja tu ambayo hufanikiwa kupenya kwenye YAI na kusababisha URUTUBISHAJI kutokea!
Na huyo MSHINDI mmoja....ni wewe!! Ni wewe hapo unayesoma UZI huu muda huu!!
Hivi umewahi kujiuliza? Kuhusu hili
kama uliweza kufukuzana mbio ukiwa huna macho yako wala miguu yako na bado ukaibuka MSHINDI!
Kama uliweza kushindana bila ELIMU yako na bado ukaibuka MSHINDI!
Uliweza kushindana bila CHETI chako na bado UKASHINDA ukakimbia bila msaada kutoka nje na bado UKASHINDA. Ni kitu gani kinakufanya uhisi kama hutoshinda kwasasa?
Sasa hivi..una macho, miguu na mikono yote miwili una maarifa ya kutosha juu ya NENO la MUNGU
Una MIPANGO
Una MAONO na NDOTO
MPENDWA hukukata tamaa toka siku ya KWANZA hivyo HUTAKIWI kukata tamaa sasa. Kukata tamaa kwa sasa..ni mkosea sana MUUMBA WAKO
Haijalishi ni kitu gani unapitia kwasasa!
Haijalishi ni magumu mangapi unapambana nayo kwasasa! Yachukulie yote kama CHANGAMOTO na daima ukumbuke kuwa ulikuwa MSHINDI tangia tumboni wewe ni MSHINDI
Hivyo unakila sababu za kuibuka MSHINDI tena kwa sababu umeimalika zaidi kuliko ulivyo kuwa tumbon na utayashinda yote unayo yapitia kwasasa katika jina la YESU!
wakati wa tendo la ndoa mwanaume hufanikiwa kumwaga takribani million 200 mpaka 300 ya sperms ndani ya UKE wa mwanamke!
Kisha baada ya hapo Sperms hizo huanza kuogelea kupitia njia iliyo special kuelekea lilipo yai la mwanamke!
Baiolojia inaongezea inasema kwamba
Kati ya hizo sperms Million na ushee....ni sperms 300 mpaka 500 tu ndiyo tufanikiwa kufika mahali lilipo kuwa likisubiri yai.
(Sperms Nyingine zote huchokea njiani.. kwasabab ya ugumu wa mbio kwani hizi huwa ni Mbio ngumu haijwahi tokea!)
Na kati ya hizo zilizo fanikiwa kufika ni moja tu.... ambayo huibuka MSHINDI ni Moja tu ambayo hufanikiwa kupenya kwenye YAI na kusababisha URUTUBISHAJI kutokea!
Na huyo MSHINDI mmoja....ni wewe!! Ni wewe hapo unayesoma UZI huu muda huu!!
Hivi umewahi kujiuliza? Kuhusu hili
kama uliweza kufukuzana mbio ukiwa huna macho yako wala miguu yako na bado ukaibuka MSHINDI!Kama uliweza kushindana bila ELIMU yako na bado ukaibuka MSHINDI!
Uliweza kushindana bila CHETI chako na bado UKASHINDA ukakimbia bila msaada kutoka nje na bado UKASHINDA. Ni kitu gani kinakufanya uhisi kama hutoshinda kwasasa?
Sasa hivi..una macho, miguu na mikono yote miwili una maarifa ya kutosha juu ya NENO la MUNGU
Una MIPANGO
Una MAONO na NDOTO
MPENDWA hukukata tamaa toka siku ya KWANZA hivyo HUTAKIWI kukata tamaa sasa. Kukata tamaa kwa sasa..ni mkosea sana MUUMBA WAKO
Haijalishi ni kitu gani unapitia kwasasa!Haijalishi ni magumu mangapi unapambana nayo kwasasa! Yachukulie yote kama CHANGAMOTO na daima ukumbuke kuwa ulikuwa MSHINDI tangia tumboni wewe ni MSHINDI