Usicheke

Hahaha mkuu umenifurahisha savannah si mchezo!
 
Uyu jamaa alikuwa member wa jf mapindi hayo kabla hajapumzishwa pale Milembe hospital,now ni pdiddy kutoka Milembe hospital..
Hii ndio jf hadi Mateja wamo humu..
 
Ndio maana umesema usicheke.?? sasa hiyo savana ilikuwa imefungwa au wazi. Na je ilivyokuja wewe ulionaje? Ni savana au castle?? Uwe muwazi.
 
sio ajabu sana inategemea na malengo ya mtu hivo hakuna kinachekesha ktk hilo,labda kulikuwa na lazaidi ktk mazungumzo yenu.
 
Hii ni mutu ya bongo au ni mutu ya drc?,kiswahili chake loo majanga matupu.
 
Nikiona mada ya huyu mtu huwa napenda sn kusoma kwa sababu ananiachaga hoi, siajabu hata yy mwenyew haelew anachoandikaga, ila nimecheka sn leo
 
hii thread umeandika huku uko tilalila kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…