Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Mume wa Bettina, naibu maikrofoni. Mgombea ubunge Mbeya mjiniUsicheke,huyu ni mume wa dada mmoja mjuaji sana wa jf
View attachment 1170750
ha ha ha atakuwa amekusikia huko alikoMume wa Bettina, naibu maikrofoni. Mgombea ubunge Mbeya mjini
ha ha ha haJamani umeitoa wapi picha ya mume wangu
Msalimie shemejii, hizo ulizomchagulia, God is watching youu[emoji3] [emoji3]Jamani umeitoa wapi picha ya mume wangu
Unakuta mwanamke ametoka ndani amependeza kweli,huku mwanaume ajulikani ametoka pango lipiMsalimie shemejii, hizo ulizomchagulia, God is watching youu[emoji3] [emoji3]
Utulie kwa shemeji mambo ya kuja kuja nyumbani uwache!Jamani umeitoa wapi picha ya mume wangu
Nataka akue nazo [emoji3]Msalimie shemejii, hizo ulizomchagulia, God is watching youu[emoji3] [emoji3]
Nimetulia mimi na laaziz wanguUtulie kwa shemeji mambo ya kuja kuja nyumbani uwache!
Sitaki kuamini..Nimetulia mimi na laaziz wangu
ha ha ha unataka mpaka zikaukie mwilini?Nataka akue nazo [emoji3]
We endelea kutoniamini ila hubby ananiamini kwa asilimia 200Sitaki kuamini..
Wewe wasema [emoji23][emoji23]ha ha ha unataka mpaka zikaukie mwilini?
% mwisho 100 yeye kapituliza kiasi uumpe suti za Babu alipo muoa Bibi..We endelea kutoniamini ila hubby ananiamini kwa asilimia 200
Ndio kapitiliza% mwisho 100 yeye kapituliza kiasi uumpe suti za Babu alipo muoa Bibi..
Shemela kapapikana..Ndio kapitiliza
haya kazi kwakoWewe wasema [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani yupoje huyu mme wa mtu mbona yupo kawaida tu haaaa haaaUsicheke,huyu ni mume wa dada mmoja mjuaji sana wa jf
View attachment 1170750