Usiache kazi sababu ya mapenzi

Mke wangu namuachisha ajira anafanya biashara.
 
Hii meseji nimeipenda sana, hata mimi nilinyimwa kufanya kazi na mume akaniacha vile vile.
Sasa hivi imebakia majuto tuuu :A S wink::A S wink:
 
Hii meseji nimeipenda sana, hata mimi nilinyimwa kufanya kazi na mume akaniacha vile vile.
Sasa hivi imebakia majuto tuuu :A S wink::A S wink:




Pole sana ndo inavotokea kazi unakosa na penz unakosa pia
 

word!!
 
HII MBONA ipo tuu sanaaa....Wanaume sijui wanakuwaga na uwazimu...MIUWIVU miingi..Ukiona mwanaume hivi ujue huyu anamambo yake hataki uyajue....
Yaani wanawake ni wengi sanaaa wameachishwa kazi kisa mume..hasa wengi Waislam...

Nyie wanaume mshindweee na mlegee..

Mwanamke akifanya kazi akiingiza 50 akakusaidia hata kununua nguo zake za ndani na za mtoto ujue huo ni msaada wewe utatoa 100 badala ya 150....BADILI TABIA




 



Mi naona huwa hawathamin mchango wa ke

Na pia wanaofia wasijulikane mambo yao wayafanyayo huko njer
 
HALAFU wanaume wengine wana SWAGAA anakuambia...kwani wewe huko unalipwa sh. ngapi hasa, au kwani huko unapata sh. ngapi hasa...Kaa hapa nyumbani mimi ntakulipa mshahara ...na anakutajia kiasi.....Sasa kaa weee utang'aa macho mwezi wa kwanza, wa pili hakuna Mshahara wala Mshobobo...Unaishilia kuomba na siku ya siku anakutema vile vile wewe na watoto km hawajui




 
Uko sahihi ndugu haya mahaba ya kubebana mwisho wa siku unaangukia pua . Hii naiita shule bila ada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…