USIA wa Baba wa Taifa!

Usalama wa Tanganyika utakua mdogo sana kama Zanzibar ikijitenga, Tuko tayari kushare nao keki ya Tanganyka kwa ajili ya maslahi mapana. Kama Zanzibar ni ndogo kwa nini ijitenge?
 

Do I care about pathetic ccm,am I a devil
 

Kweli CCM haina tena mashine mahili ya kupika propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…