V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Mar 29, 2015 #1 Nataka kujuau ushuru wa used spare parts wa magari madogo na makubwa ukoje .Nataka kuanzisha hii biashara lakini ufahamu wa ushuru unavyo tozwa katika used spare parts bado ni kitendewili hususa unapoleta container .Natanguliza shukrani
Nataka kujuau ushuru wa used spare parts wa magari madogo na makubwa ukoje .Nataka kuanzisha hii biashara lakini ufahamu wa ushuru unavyo tozwa katika used spare parts bado ni kitendewili hususa unapoleta container .Natanguliza shukrani