USHURU WA GARI-TRA

USHURU WA GARI-TRA

chotibalula

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
206
Reaction score
110
Naombeni ufafanuzi jamani, niliagiza gar aina ya coralla runx mwez 12, 2017. Wakati naangalia ushuru kwenye caluculator ya tra nilikuta gar lina ushuru wa 5.1m.....lakin leo tarehe 1 nmeangalia the same car ushuru wake umefika 5.7m. Swali, kwa kuwa mpaka sasa cjapewa tax invoice..je nitakuwa affected hizi changes?.....nawaslisha
 
Kama details zote ulijaza sawa itakua effect ya exchange rate ingawa duh, sio kwa laki 6 nzima aisee
 
Inawezekana itakua shauli ya kodi ya uchakavu..umri wa gari umeongezeka..
 
Naombeni ufafanuzi jamani, niliagiza gar aina ya coralla runx mwez 12, 2017. Wakati naangalia ushuru kwenye caluculator ya tra nilikuta gar lina ushuru wa 5.1m.....lakin leo tarehe 1 nmeangalia the same car ushuru wake umefika 5.7m. Swali, kwa kuwa mpaka sasa cjapewa tax invoice..je nitakuwa affected hizi changes?.....nawaslisha
2018 miaka 10 imepita.
Uchakavu lazima upigwe,ungeitoa Mwaka jana isingekuwa.
Pole
 
Naombeni ufafanuzi jamani, niliagiza gar aina ya coralla runx mwez 12, 2017. Wakati naangalia ushuru kwenye caluculator ya tra nilikuta gar lina ushuru wa 5.1m.....lakin leo tarehe 1 nmeangalia the same car ushuru wake umefika 5.7m. Swali, kwa kuwa mpaka sasa cjapewa tax invoice..je nitakuwa affected hizi changes?.....nawaslisha
UNgeli nunua hapahapa Magari mbona yk mengi
 
Nilitaka kuagiza gari Japani nilipoona bei ya kununulia inazidiwa na kodi nikaghairi.
Wenzetu Zimbabwe gari ambayo huku kodi tunatozwa milioni 8-10 wao ni milioni moja tu kila kitu.
Hii nchi tunaishi tu kwakuwa
 
Hamia Zimbabwe, ndio maana uchumi wao umekufa mpaka wanajeshi hawana sare
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom