Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,067
Kupata sio ujanja na Wala kukosa usio Ujinga, ila Yote kwa Yote Anapaswa Kushukuriwa mtoa ridhiki.
Kwa wale ambao awaamini ktk uwepo wa mtoa ridhiki(MUNGU).
Sio Kila mtu anaamini ktk Mungu, ila Mimi naamini ktk Mungu na kua Ridhiki ni Majariwa ya Mungu.
Sisi Tulio watu wazima na tupo ktk utafutaji wa Ridhiki sifa na utukufu apewe Mungu kwa Kila unachokariwa kupata.
Pia ukipatacho kisiwe fimbo ya kuwachapia walio Kosa au kuwadharau walio chini yako Kiuchumi au kipato.
Tuheshimu walio nacho na wasiokua nacho Tutambue sisi zote ni Binadamu.
Tuweke mbele ubinadamu kwanza