Ushuhuda: Wazazi wanalinda watoto dhidi ya watu wa nje wakati waharibifu wako ndani ya familia

Pole sana my dear, wasamehe wazazi wako, walijitahidi ila waliwaamini ndugu, ujifunze, wewe sasa usiwaamini wote!
 
Binafsi nina watoto watatu wote ni KE sitaruhusu kamwe kuwalaza na mgeni yeyote kama napata ugeni...kila mgeni anakujaga na tabia zake huko atokako hili nalo la kuchunga sana....ile kusema"we joni na samweli mtalala na ndg yenu huko...
..!!"...kwangu hiyo haipo.... tunawapenda wfn lakini familia kwanza....
 
Mtoto kusema ni ngumu sana inategemea na mzazi huongea vipi mtoto na mnamazoea ya kuongea lakini mzazi busy mpaka usiku saangapi kukaa na mtoto akuzowee, wala wasilamu mtoto kutokusema
Mzazi anaweza kuwa anaongea na mtoto, lakini kusema kunatokana na mahusiano yaliyopo kati ya Mzazi na mbakaji, mf kama ni baba wa kambo au anko na mtoto anajua mama ma mbakaji wanaheshimiana sana au kupendana sana, mtoto anajua akisema atavunja mahusiano yenu, ataabika na huenda asiaminiwe.

Mf hilo tukio nililolisema, huyo baba wa kambo inadaiwa alikuwa mkali sana, hata mama mtu alikuwa anapigwa, ila familia ilikuwa inamtegemea kwa kipato, akiingia ndani kila mtu kimya, hiyo ikawa fursa kwake kumbaka mtoto bila upinzani, mtoto akaamua kujiua.
 
Moderator this is a self confessed rapist!
 
Na mbaya zaidi adui wakubwa wanaofanya hayo mambo ni wale wale wa karibu ambao ndo wana jukumu la ku protect hao watoto, mfano baba, kaka, jirani, ba mdogo, mjomba, mume sijui wa shangazi, mume wa mama mdogo, rafiki acha tu
Na kwa hiyo watoto wanawaamini na kuwasikiliza sana.
 
Kuwalaza watoto na wageni ni kosa kubwa sana - wawe wa jinsia moja ama tofauti. Labda na wewe mwenyewe ukalale humo humo.
 
Hao ndugu zako waliokufanyia umafia kama bado wapo, waulize kwa nini walikufanyia huo unyanyasaji?
 
Your recreation sent him a clear message. That was good. Kama haupendi kitu usimchekee mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…