Ushuhuda wangu mimi baba kijacho

hongera sana bora ulisikiliza ushauri wangu ukaenda kwa gwajima kuliko ulivyotaka kwenda kwa sangoma

mhh hivi mna nini na Gwajima mbona kwenye huu uzi ametajwa sana? Si sawa kusema kitu ambacho si cha kweli
 
Last edited by a moderator:
Kuwa nae mbali huyo mchungaji, mana vinginevyo ataomba kuja kuiombea mimba ikue vzr....mwishowe ukawa baba mlezi wa mtoto na sio baba mzazi.:angry:

dua zangu kwako ifike wakati uamini kuwa Mungu yupona watumishi wa kweli wapo. Ukielewa hapo ntakua nimefanya kazi kubwa sana ntapata thawabu
 
Ukiona mwanadamu anakashifu tu tena bila sababu ya msingi ujue hajabanwa au kupitia changamoto inayomlazimu kutafuta msaada wa ziada. Najua kuna watu ningesema nilienda kwa mganga na kuku wangeniamini ila nimetaja maombezi tu kashfa zimekua nyingi.
Wapendwa Mungu yupo na miujiza ipo. Wengine wanasema imani yangu pekee ndo imeniponya mbona nimekua nikisali peke angu kwa mwaka mmoja na miezi saba sikufanikiwa na nilikua na imani kali?
Mnasema sijui mtoto atafanana na pastor nimeshasema nimeenda siku ya 21 maombezi na nimepima siku ya 27 nimepima mimba ipo kwa akili ya kawaida alieweka mimba ni mimi kule tumeenda kupambana isiharibiwe.
Maombezi huwa hayafanywi sirini, nimesema ni saa 7 mchana kanisani mbele ya hadhara nami nikiwepo nimemshika mkono mke wangu tumeombewa wote na kurudi home lakini wapi bado watu wana mashaka kweli kazi ipo
 
hongera sana mjomba, usitie shaka kuweka jina la huyo mhubiri hapa
 
hongera kamanda kama ni MUNGU wa miungu na ashukuliwe kama ni shetani na alaaniwe pia tegemea pm za kutosha mana watz tunaumwa kweli kweli
 

Aamen! Mungu hawai wala hachelewi na mawazo yake si ya mwanadamu na huwa anatuwazia mema. vilevile kumbuka alihahidi ktk Israel hapatakuwa na tasa wala mwenye kuharibu mimba. Mungu ni Mungu tuuu na tumwache aitwe Mungu maana miaka 1000 yako kwake ni sawa na kesha la jana liiksha kupita. Glory to God....
 
Muangalie sana Pastor huyo, huwezi pata mtoto ghafla wakati huna Imani!

Halafu na wewe mkuu una nini mpaka unalilalia kupata mtoto ina maana huko nje hujawahi?

Akifa je si ndo na wewe utakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…