sikuwa hata isolated sijui kwanini sikujuakunyoa sehemu nyeti na kwapani ni elimu unayoipata ktk jamii (socialization) toka kwa ndugu, marafiki na wengine wa rika lako, unless ulikuwa isolated sana, kwa sisi tunaotoka ktk makabila ambayo hayana tamaduni za kukeketa wanaume, tume mutilate foreskin zetu bila kuelekezwa na mtu, through socialization tulijifunza kuwa ngozi ya mbele haikubaliki unless usitoke nje ya kabila lako.
hilo muhimu mkuu.kwetu watu wanajifanya kuishi kizungu niliteseka kweli kisaikolojiandio mana makabila mengine pindi msichana anapo vunja ungo nilazima awe na somo yake au kungwi ili akueleimishe nini kinafatia
amasivyo unaweza kuhadhirika....
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
sitaniii apolo ni kweli yaani nikimalizia utanionea na huruma:biggrin:hahahahahaaaa, umenikumbusha movie ya 18 years old virgin, yaani unafanana kabisa na yule dada. Hahahahaaaaaaa. Nimecheka sana, sikutegemea kama unaweza kujiamini na kusema ukweli. Poleeee, natumaini sasa hivi unanyoa. Lol!:lol:
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe
nikimalizia utanionea na huruma
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?