Ni ugonjwa wa kawaida sana huo ata usiogope mimi nimetoka naumwa pamoja na mapisi zangu wote niliokuwa nao yani.. wiki mbili tu unakuwa vizuriiNaandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali.
Vipele vinakuwa kama vina shimo katikati, pembeni ni vyeupe, havitoi maji wala usaha ila vinasambaa kwa speed kali sana na vinakua hararaka sana.
Wagonjwa ni wengi sana ukizubaa unapelekwa karantini.
Dalili zake
Homa za muda mfupi
Kichwa kuuma sana
Ukienda kupima utaambiwa hakuna ugonjwa wowote
Kusikia baridi sana
Vipeleke sehemu za siri
Haumpati kila mtu ila ukikupata uwahi fasta kwa mtaalamu
Picha siweki zinatisha
Kanda ya ziwa vimesambaa sana
Kwenye bababshop zenu taulo moja inafuta vichwa 50 bila kufuliwa, au gest shuka linalaliwa wiki nzima na taulo kila mtu anajifutia.
Apo ni Dawa za maumivu tu kama panadol na ya kupaka tu na usiku unaweza usilale ko mimi nilikuwa napiga na piriton ya mafua inaleta usingizi Mulua mpaka asubuhiPole sana,unatumia dawa gani mpaka sasa?
Yaani kujilinda apo usipige Romance na mwenza yoyote wala kufanya mapenzi wengine wanayo ila Dalili zinakuwa bdo hazijajitokeza kwa ukubwaWeka picha tutishike tuchukue hatua ya kujilinda
Tunatishana sana ndugu zangu... Jogoo hafi kwa utitiriYaani kujilinda apo usipige Romance na mwenza yoyote wala kufanya mapenzi wengine wanayo ila Dalili zinakuwa bdo hazijajitokeza kwa ukubwa
Nimesema vipele vinakuwa vina shimo katikati pembeni rangi nyeupe, vinawasha, vinasambaa haraka sanaMkuu kwanini usiweke picha hapa,anayetishwa nani sasa kama ni ugonjwa si ndio vizuri kuona unafananaje ili tuutambue mapema
Ndiyo ule ugonjwa wa Amos Makala!Naandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali.