Ushuhuda: Nilimlisha mume wa mtu limbwata la nyama ya bundi

Mleta mada wewe umefanyiwa limbwata la kwenye vidole ndio maana uandishi wako umetawaliwa na usingizi.
 
Kwanini wanawake wanapenda kutuweka limbwata wanaume ... ??

# 2 hours ago

# 40 replies

# 312 views

Lakini kwa story hii huyu dada ni mchawi siyo bure... Huwezi kariri maneno yote akiyokwambia mganga kama siyo mchawi wewe. Umeniboa sana hasa kutoa mimba ya mke wa K . Huna maana kabisa hayawani mkubwa we

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom