Ushuhuda: Nguvu za kiume

Kabla hatujaendelea...hebu nirushie namba za vocha kwa pm.....

Anyway hongera
 
Ripoti yako mbona haijakamilika??..unapiga ngapi now na kwa dk ngapi??..uenda tatizo bado lipo
 
Shukrani kubwa ziwaendee "kitunguu saumu, asali, tangawizi na pweza" popote walipo
 
Mpemba anasubiria buku5 yake hapa fanya haraka kabla jua halijazama
 
Ngoja kwanza, tunatafuna kitunguu saumu dry, ama? Bana eh! Kama unaweza kubeba ndoo 2 za maji(lita 20) kila mkono, na unaweza kumnunulia babes smatfoni, basi una nguvu za kiume. Tutakuja kuuana hivi hivi.
 
Hebu tupia video clip moja tukuamini...lasivyo yatakuwa ni maneno matupu kama ya ccm
 
Hahahahaaaa bado unatatizo wewe Umemaliza doze ya vitungu na asali?
 
ni kweli kabisa, bila kusahau kunywa maji kwa wingi. Angalau lita moja kwa siku.
 
kirunguu swaumu plus tizi mixer asali changanya na tangawizi plus mdalasini lazma aombee poo
 

Una umri gani kwanza? Maana underperformance pia ni age related
 
kwa msaada huo kampigie lowassa kura ya NDIO"vocha zako baki nazo.
 
Heheheeee! Kumbe jirani mambo ulikua huyawezi eh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…