Ushuhuda: Mwanamke hakopeshwi hela, anapewa tu

Ndo unajua leo?
 
Eti mie mwanaume alete dalili za kunitongoza, nimkope pesa afu ategemee kurudishiwa......asahau.
Hata kama uko humu Jf....SAHAU KAKA!!!!!

Wanaume ninaokesha nao Pm 24/7 wananijua...sema hawatathubutu kuja kukiri hapa jukwaani.
Aiseee,Mimi nisingekubali by any means ningekutafuna tuu
 
Aisee inauma sana kwakweli,ila nilivyopiga mzigo kidogo uchungu ulipungua
Hakuna cha kupunguza machungu wala nini.
Yaani ngoja nikupe siri, katika vitu ambavyo wanawake huwa hatuna habari wala kusumbua ubongo ni lile suala la kutoa penzi na kondom.
Yaani mwanamke akitiwa na ndom, huwa anajiona kama hajafanya kitu.
Sasa kama wewe ulipunguza machungu huku umevaa ndom, hasara kwako poooohhhhh!!!!
Huku kwetu kamshange tu!!!
 
Kwanza unaanzaje kumdai demu? Mi mdada akikopa, kama ninayo niyampa kwa misingi ya kumpa, syo mkopo
 
Hahaha,mimi haja yangu ilikuwa utelezi tu na nimefanikiwa kupata na bao zangu nimepiga, hayo mengine ni juu yake tu.
 
Aiseee,Mimi nisingekubali by any means ningekutafuna tuu
Kunitafuna sio solution hata mngenipiga mtungo, swali, je....nilirudisha?
Kutiwa kwani ndo nini bhana....
Hiyo haki yangu, ....ila nishaila pesa na sikurudishii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe kama uko tayari njoo PM tumalizane,mimi nikipiga mzigo hata kama ni milioni nasamehe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…