Ushuhuda kwa wanaume wote wenye tatizo la nguvu za kiume

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Ni ukweli usiopingaka wanaume wengi wamekua wakisumbuliwa na upungufu wa nguvu za kiume hasa kwa miaka ya hivi karibuni.

Binafsi nilihisi kama na mimi nimeanza ku expirience tatizo hilo.Katika pitapita zangu nikawanapiga story na mzee mmoja wa makamo dereva wa malori mwenyeji wa mikoa ya kusini,

Ktka mazungumzo yetu kwa bahati tu ikawa tumegusia mada kuhusu maswala haya,basi yule mzee akaniambia nimpatie sh elfu 20 tu atakaporudi dar kutoka safari ataniletea komesha ya tatizo langu,

Anyway nikaona elfu 20 kitu gani bwana,nikampatia,kweli baada ya kama siku sita mzee akarudi,kweli akanletea dawa yenyewe,iko kwenye kichupa kidogo sana,kama cha inch 1 hivi.Dawa yenyewe ni nzito kama lotion.

Akaniambia niipake kama nachua vile kwenye dushe kila baada ya masaa 5 kama mafuta ya kawaida,nikafanya hivyo,mara tatu kwa siku moja na kile kichupa kikawa kimekwisha.

Mchana huo sikuona mabadiliko yoyote maana niliendelea na mishe zangu kama kawaida.

Kufika usiku kama kawaida nikaomba show kwa shemeji yenu,huezi kuamini,nilipiga show la haja kuona hiyo haitoshi tukashusha godoro chini lakini wapi,yeye kaenda mishindo mitatu mimi hata mmoja hakuna,sikuile ikapita bila kupiga bao.

Kesho yake tena nikaomba game,piga sana yeye kaenda miwili,mimi hata mmoja hola,Mmmh nikogopa pengine imenletea madhara,nikampigia yule mzee,akaniambia nisiwe na wasi wasi.

Siku ya tatu nimepiga show la nguvu kama lisaa na robo hivi,kila style mpaka shemeji yenu akatoka nduki lakini wapi,sikufanikiwa kufika mshindo,yeye kama kawaida kafika mara 2.

Siku ya nne ikapita ,sikuomba show.
Siku ya tano kwa mbinde baada ya kuchezewa sana kama lisaa na zaidi,nikapiga show ya maana sana ndio nikafanikiwa kupiga kimoja kwa taabu sana.

Sasa shemeji yenu akawa ananikejeli,"kwamba nlikua na wanawake wengine nje ndo maana nlikua sina mzuka nae kama siku hizi"
Sikutaka kumwambia nlichotumia.

Mpaka hivi sasa nimeshapiga show kama siku 6 hivi,nimefanikiwa kukojoa mara 1 na kukojoza kama zaidi ya mara 10.Na kwa mujibu wa yule mzee anasema dawa hii ukitumia mara moja tu ndio basi hutatumia tena.

Kwakweli nimeamini,wanaume wengi hatuwatendei haki wake zetu,maana nikifikiria show tulizopiga wiki hii na siku za nyuma,kweli ndio maana wengi tunagongewa.

Atakae itaka dawa ani pm nitampa maelekezo vipi anaweza kuipata.
 
He he he he duh c'mon siku zote hizo hutoi wazungu!!
Angalia next time usiwaze hayo madawa unaweza kuacha nyama za kichwa zinapururuka zenyewe.
Chukua dawa hii hapa uipenda kutumia hivi utaenjoy sana game na shemeji.
Madafu
chai ya habasawda + asali ama asali na maziwa + mdalasini
Tangawizi kali kama unaweza tafuna kipande tu kila mara
salad ya vitunguu maji na matango.
Ukiweza kula kitunguu swaum ni bora sana.
Matikiti maji kwa wingi.
unywe maji ya kutosha.
 
kula chakula bora kunywa maji mengi kula matunda na fanya mazoezi. hayo madawa bro. yataja kukuletea shida siku zijazo. alafu mbona haiingi akili unasema unapaka?
 
He he he he duh c'mon siku zote hizo hutoi wazungu!!
Angalia next time usiwaze hayo madawa unaweza kuacha nyama za kichwa zinapururuka zenyewe.
Chukua dawa hii hapa uipenda kutumia hivi utaenjoy sana game na shemeji.
Madafu
chai ya habasawda + asali ama asali na maziwa + mdalasini
Tangawizi kali kama unaweza tafuna kipande tu kila mara
salad ya vitunguu maji na matango.
Ukiweza kula kitunguu swaum ni bora sana.
Matikiti maji kwa wingi.
unywe maji ya kutosha.
Mkuu hata hiyo ni dawa ya kienyeji,magome ya miti yametwangwa twanga na kuchanganywa na mafuta asili.
 
kula chakula bora kunywa maji mengi kula matunda na fanya mazoezi. hayo madawa bro. yataja kukuletea shida siku zijazo. alafu mbona haiingi akili unasema unapaka?
Unapaka bosi,hata mimi mwanzo sikuwa naamini,ila ufanisi wake nikweli kabisa kiongozi.
 
Ukiweza kuji-control kisaikolojia hutahitaji hizo dawa, ukiweza kucheza na akili yako uta-control game lote utakavyo unaweza kuamua saa ngapi na wapi nimalize kazi.
Sex ni hisia, na hisia kali ndo zinakufanya kufika mwisho fasta kabla ya mwenzako ajainjoi kitu zaid ya kumchafua tu. Jitahidi ku-regulate hisia zako, chukulia kawaida unapokua mzigoni usichukulie kama ni kitu very special na isipofanyika leo ndo basi tena na hakuna siku nyingine zaid ya leo hapo utaweza kutawala issues vzr ni hivyo tu hakuna miracles.

Sent from afrika sana powered by geofreyngaga.
 
Back
Top Bottom